Official planner
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 250
- 345
Haya ni matumaini tu ndugu yangu jamaa hawaeleweki hata kidogo
HahahaBORA HATA WW UNATUPA MOYOO KAKA KWELII ZA MDAS NYINGI UHAKIKAA NA TENA SAIV WATATAKA KUONEKANA WAPO VERY SMART LAZIMA WAAJIRI HAO WA DATA BANK
Na hawajatoa kazi kipindi hiki lazima tu wataanza na walionaoBORA HATA WW UNATUPA MOYOO KAKA KWELII ZA MDAS NYINGI UHAKIKAA NA TENA SAIV WATATAKA KUONEKANA WAPO VERY SMART LAZIMA WAAJIRI HAO WA DATA BANK
Kazi mara nyingi si zinaachiwaga october to DecemberNa hawajatoa kazi kipindi hiki lazima tu wataanza na walionao
Sijui naona tu ni mda mrefu tangu nione tangazo la kaziKazi mara nyingi si zinaachiwaga october to December
Ndiyo miezi yao hiyo mara nyingiSijui naona tu ni mda mrefu tangu nione tangazo la kazi
NDIOOO KUNA PDF INAANDALIWA HUKOOOOONa hawajatoa kazi kipindi hiki lazima tu wataanza na walionao
kabisaaaNDIOOO KUNA PDF INAANDALIWA HUKOOOOO
Kuna jamaa yangu alikua database, kapata internal auditor.Hilo PDF la jana halina ushuhuda?
pongezi kwake nyingiiiKuna jamaa yangu alikua database, kapata internal auditor.
Hongera sanaNinawashukuru wote mliochangia uzi huu, umekua ukinipa moyo sana. Nililamba asali miezi 2 iliyopita. Na baada ya taratibu zote hatimae nimeanza kazi, nimepata check namba na mshahara. Leo nimetimiza mwezi mmoja rasmi.
Niwatie moyo watu wote mlio kwenye mchakato huu, Mwenyenzi Mungu awatie nguvu na awafungulie baraka zake muende sehemu mnazotamani mioyoni mwenu. Nilipata kazi baada ya muda mrefu wa kusubiri, na nilipata wakati niliokua pengine nimekata tamaa na sitarajii, siku naona placement letter ilikua ni mix ya kutoamini na kushangaa. Na huu ndio ulikua mwaka wangu rasmi wa kuachana na application serikalini, nilikua na interview mbili tu zimesalia za majibu, na moja ndio ilinitoa. Na kulikua hakuna tangazo la kazi wala call for interview kwa kada yangu tena.
Ninawaomba wote mnaosoma hii muongeze ibada kwa Mungu, na maombi yenu yatajibiwa kwa kiwango cha juu. Nimeletwa wizara na taasisi ambayo sikuitarajia, na to be honest nilishasahau kama nili apply. Lakini wakati wa Mungu ni wakati sahihi, na mipango yake ni tofauti sana na ya wanadamu. To cut a long story short, never give up, aluta continua. Cheers, salute.
Naombea ubaki dodoma mkuu ili niwe nadandia lifti kwako😀, maana jengo letu limepakana na jengo lenuHuyo jamaa miyeyusho,kuna group naot wametutengenezea WhatsApp, wamesema kabisa mtu kama una lolote la kuuliza feel free to ask,lakini yeye kila siku nashangaa anauliza ya naot jf.
Kada gani kiongozi Mimi nimeshachoka nimesoma social protection mpaka Leo sijui kama nitalamba asaliNinawashukuru wote mliochangia uzi huu, umekua ukinipa moyo sana. Nililamba asali miezi 2 iliyopita. Na baada ya taratibu zote hatimae nimeanza kazi, nimepata check namba na mshahara. Leo nimetimiza mwezi mmoja rasmi.
Niwatie moyo watu wote mlio kwenye mchakato huu, Mwenyenzi Mungu awatie nguvu na awafungulie baraka zake muende sehemu mnazotamani mioyoni mwenu. Nilipata kazi baada ya muda mrefu wa kusubiri, na nilipata wakati niliokua pengine nimekata tamaa na sitarajii, siku naona placement letter ilikua ni mix ya kutoamini na kushangaa. Na huu ndio ulikua mwaka wangu rasmi wa kuachana na application serikalini, nilikua na interview mbili tu zimesalia za majibu, na moja ndio ilinitoa. Na kulikua hakuna tangazo la kazi wala call for interview kwa kada yangu tena.
Ninawaomba wote mnaosoma hii muongeze ibada kwa Mungu, na maombi yenu yatajibiwa kwa kiwango cha juu. Nimeletwa wizara na taasisi ambayo sikuitarajia, na to be honest nilishasahau kama nili apply. Lakini wakati wa Mungu ni wakati sahihi, na mipango yake ni tofauti sana na ya wanadamu. To cut a long story short, never give up, aluta continua. Cheers, salute.
Kwani nimesema nina ndinga mkuu?Naombea ubaki dodoma mkuu ili niwe nadandia lifti kwako😀, maana jengo letu limepakana na jengo lenu
ALIKUWA PASSED AND STORED IN DATA BANK NA YEYE AUKuna jamaa yangu alikua database, kapata internal auditor.
Unapat wap nguvu ya kuchoka. Fanya tu written kwa target ipo sikuKada gani kiongozi Mimi nimeshachoka nimesoma social protection mpaka Leo sijui kama nitalamba asali
Hilo sijamuuliza kwa kweliALIKUWA PASSED AND STORED IN DATA BANK NA YEYE AU