Stelingi
JF-Expert Member
- Dec 23, 2022
- 703
- 1,928
IT ni mtu wetu wa uhakika.IT karibu chai..!!
IT ni mtu wetu wa uhakika.IT karibu chai..!!
Karibu sana mkuu.Ahahah Nimerudi mjengoni mkuu
Bila shaka mshawasilisha na nyaraka zote zinazohitajika....Wakuu,nna suala kidogo mwenye uelewa anisaidie. Nimechaguliwa kwenye ajira taasisi X na tumeshapeleka barua za utambulisho kwa mwajiri zaid ya wiki mbili zilizopita tunasubiri kupangiwa vituo vya kazi.Je kwa kipindi hiki ninaweza kuhesabiwa km mwajiriwa na kuingiziwa maokoto mwisho wa mwezi au ndo mpaka pale nitakapopangiwa kituo cha kazi?Utaratibu ukoje kwa anayefahamu please![emoji120]
Makofia ametupa matumaini tuendlee kuvuta subra mkuuUkichapika sana na mtaa unaweza ona elimu ni ya wote ila ajira ni za wachache
Aiseeh ngoja tuone pdf zijazo
BOT, Hazina salary kawaida ila hela za hapa na pale nyingi. Mimi naona kwa serikalini ukitaja giant wa salary
1. CSMA
2. TCRA
3. eGA
4. NIMR
Hawa nafikiri hakuna taasisi yeyote inaowafikia kwa Salary ghafi. Hii ni kwa utafiti wangu mdogo
Nasikia tpbc ni balaaaYani kwa sababu hakuna TPDC hapa, hii orodha haifai. Niamini mimi kaka.
Yah taarifa zote muhimu tulishawasilisha,km vyeti,bank account, T.I.N number na vingnevyoBila shaka mshawasilisha na nyaraka zote zinazohitajika....
Wewe tayari ni mtumishi, kama mwajiri atawasilisha taarifa zako mapema zikiwa sahihi sehemu husika ikiwemo HAZINA, subiri maokoto yako mwisho wa mwezi.
Yah taarifa zote muhimu tulishawasilisha,km vyeti,bank account, T.I.N number na vingnevyo
BOT wana mshahara mrefu kuliko wote uliowataja. Hazina wanatumia TGS ila marupurupu ni mengi sanaBOT, Hazina salary kawaida ila hela za hapa na pale nyingi. Mimi naona kwa serikalini ukitaja giant wa salary
1. CSMA
2. TCRA
3. eGA
4. NIMR
Hawa nafikiri hakuna taasisi yeyote inaowafikia kwa Salary ghafi. Hii ni kwa utafiti wangu mdogo
BOT wana mshahara mrefu kuliko wote uliowataja. Hazina wanatumia TGS ila marupurupu ni mengi sana
Inategemea na ulipoajiriwa, binafsi mm nmepata mshahara wa mwez huu na kaz Bado sijaanza,na mchakato wa ajira umefanyika mwez huuhuu, na nmeomba ruhusa ya wiki2, nikapewa.Wakuu,nna suala kidogo mwenye uelewa anisaidie. Nimechaguliwa kwenye ajira taasisi X na tumeshapeleka barua za utambulisho kwa mwajiri zaid ya wiki mbili zilizopita tunasubiri kupangiwa vituo vya kazi.Je kwa kipindi hiki ninaweza kuhesabiwa km mwajiriwa na kuingiziwa maokoto mwisho wa mwezi au ndo mpaka pale nitakapopangiwa kituo cha kazi?Utaratibu ukoje kwa anayefahamu please!🙏
Kuwa njema kunategemea mambo mengi sio salary tu. Mimi naongelea mshahara ghafi yani weka niweke hao miamba wanakimbiza taasisi zote. Ila ukiongelea fursa basi basi TRA hasa Custom na Tax wako njemanina mwnangu yupo katika mojawapo ya hizo mbili ulizosema hazina maajabu, haloo sikia tu kwa mtu mwamba yuko njema vibaya na halingi.
Haya yalikuwa mapendekezo tu. Ila serikali haikupitisha. Kwahiyo hii sio sahihiYani kwa sababu hakuna TPDC hapa, hii orodha haifai. Niamini mimi kaka.View attachment 2733108
Jamani vp hizi mamlaka za maji na usafi wa mazingira, malupulupu yapoje au ndo mwisho wa mwezi mpaka mwisho wa mwezi.BOT wana mshahara mrefu kuliko wote uliowataja. Hazina wanatumia TGS ila marupurupu ni mengi sana
This is not the evidence i was talking about. Wekeni supporting data tujifunzeHaya yalikuwa mapendekezo tu. Ila serikali haikupitisha. Kwahiyo hii sio sahihi
Nataka kupata mwanga wa paper ilivyokuwaKunani mkuu?