Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Wadau wote nadhani mko njema kikubwa kilichopo PSRS kwa sasa ni database na kuna uwezekano hata baadhi ya taasisi ambazo tayari zina received wakachukua database hasa wale ambao wana chance chache chache,,,pia kuna taasisi tamu mno yani tamu mno kuna watu hawatamini! Kwahiyo muendelee kuwa na imani na psrs
🙏
 
Hili la taasisi tamu unamaanisha mtumishi makofia360
 
Kila la heri Mkuu hapo pana Asali ya Nyuki wadogo iliyochujwa vizurii.
BOT, Hazina salary kawaida ila hela za hapa na pale nyingi. Mimi naona kwa serikalini ukitaja giant wa salary
1. CSMA
2. TCRA
3. eGA
4. NIMR
Hawa nafikiri hakuna taasisi yeyote inaowafikia kwa Salary ghafi. Hii ni kwa utafiti wangu mdogo
 
Wakuu,nna suala kidogo mwenye uelewa anisaidie. Nimechaguliwa kwenye ajira taasisi X na tumeshapeleka barua za utambulisho kwa mwajiri zaid ya wiki mbili zilizopita tunasubiri kupangiwa vituo vya kazi.Je kwa kipindi hiki ninaweza kuhesabiwa km mwajiriwa na kuingiziwa maokoto mwisho wa mwezi au ndo mpaka pale nitakapopangiwa kituo cha kazi?Utaratibu ukoje kwa anayefahamu please!🙏
 
BOT, Hazina salary kawaida ila hela za hapa na pale nyingi. Mimi naona kwa serikalini ukitaja giant wa salary
1. CSMA
2. TCRA
3. eGA
4. NIMR
Hawa nafikiri hakuna taasisi yeyote inaowafikia kwa Salary ghafi. Hii ni kwa utafiti wangu mdogo
nina mwnangu yupo katika mojawapo ya hizo mbili ulizosema hazina maajabu, haloo sikia tu kwa mtu mwamba yuko njema vibaya na halingi.
 
Back
Top Bottom