Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Nawashukuru sana, wakati wa Mungu ni sahihi kabisa, mi nilifanya oral mwezi wa pili mwaka huu zile nafasi za mda na lga, status both selected for oral interview, kitaani tangu mwaka 2009, kwahyo msikate tamaa ndugu zangu, maombi yenu kwa Mungu anayasikia na muda ukifika utapokea kilicho sahihi.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Kwakweli tusikate tamaa ,mm mwaka wa tatu nshachoka kabisa
 
Wakuu Kuna ambao Tulofanya Foreign Service January wakaita wachache Kati ya waliofika final Juzi tumeona nafasi mpya la nafasi zile zile zimetangazwa ila wakaondoa Tangazo. Ukiingia status imeandika SELECTED FOR ORAL ya kijani halafu yanayofata n meusi .
Je hapo kuja database au kitaendelea kuturamba...
Zile itakuwa wanachukua database, kwahyo afisa shona suti nyeusi kabisa
 
Back
Top Bottom