HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Naombeni tumaini ndugu zangu
Nimekuwa nikiomba maombi ya kazi utumishi Kama mara 5 na zote siwi shortlisted kwa ajili written interview
Sasa nawaza au ata utumishi nao wanaangalia GPA yako ndo wakuite kwaajili ya interview
Mimi na gpa ya 3.3 civil engineer
Nawaza Hadi nakosa tumaini
Sababu huwa wanakuandikia zipi za kutokuwa shortlisted? Lazima wakuandikie sababu mfano huja upload passport size, huja upload certified certificates etc zingatia zile sababu wanazokuandikia zifanyie kazi hawaangalii GPA unless kwenye tangazo la kazi wali specify kuhusu GPA kama zile position za T.A/A.L etc
 
Naombeni tumaini ndugu zangu
Nimekuwa nikiomba maombi ya kazi utumishi Kama mara 5 na zote siwi shortlisted kwa ajili written interview
Sasa nawaza au ata utumishi nao wanaangalia GPA yako ndo wakuite kwaajili ya interview
Mimi na gpa ya 3.3 civil engineer
Nawaza Hadi nakosa tumaini
angalia sababu ya kukukatalia hua wanatoa then hakikisha kila kitu kimekamilika kwenye profile yako then usisahau kusain barua yako.mie nina GPA ya 1.5 lakin kila interview nimo sema hua wananikanda...
 
Naombeni tumaini ndugu zangu
Nimekuwa nikiomba maombi ya kazi utumishi Kama mara 5 na zote siwi shortlisted kwa ajili written interview
Sasa nawaza au ata utumishi nao wanaangalia GPA yako ndo wakuite kwaajili ya interview
Mimi na gpa ya 3.3 civil engineer
Nawaza Hadi nakosa tumaini
Hua wanakupa sababu gani kwenye account?
 
Dah kuna muda una apply na mtu ambae mnavigezo sawa kasoro gpa kila hatua mnafanya sawa Ila ndo majibu yakija haumo yeye yomo
ikitokea hivi unapaswa kuwapigia simu. Lkn pia usipokuwa shortlisted kuna sababu wanakupa why hujawa hortlisted, sasa wewe huwa wanakutumia sababu gan. ????
 
Sijawah pewa sababu
Kwamba uwa wanaandika not shortlisted basi ivyo tu bila maelezo yoyote

Kesi nyingi naonaga

Kozi kuwa irrelevant na tangazo
Tangazo kusitishwa
Au kuna document flani ujaattach
Vyeti havina muhuri
Barua haijasaini
Ujaweka profile picture

Una uhakika kwamba yote aya umeyazingatia
 
Sijawah pewa sababu
Piga screenshot tuone kama kweli hamna sababu waliyokuambia.

Sijawahi kusikia mtu humu aseme hajaambiwa sababu, huwa wanaambiwa sababu na huwa tunawashauri wawasiliane na PSRS ili changamoto itatuliwe kama ipo kwenye uwezo wa PSRS.

Binafsi niliwahi kutokuwa shortlisted miongoni mwa application nilizowahi kuapply, na sababu ndio hiyo inayoonekana kwenye screenshot.
Screenshot_20230827-140558.jpg
 
Piga screenshot tuone kama kweli hamna sababu waliyokuambia.

Sijawahi kusikia mtu humu aseme hajaambiwa sababu, huwa wanaambiwa sababu na huwa tunawashauri wawasiliane na PSRS ili changamoto itatuliwe kama ipo kwenye uwezo wa PSRS.

Binafsi niliwahi kutokuwa shortlisted miongoni mwa application nilizowahi kuapply, na sababu ndio hiyo inayoonekana kwenye screenshot.View attachment 2730336
Jamaa mwanasiasa Sana psrs hawawezi was ik u shortlisted bila sababu

Aullize hata sababu wanaweka wapi tumjibu?
 
Back
Top Bottom