Mkuu wewe inaonekana upo kwenye NG'Os za wamerakani ndio maana hauwazii[emoji28].Daah Kwa sasa nimshushe pumzii kwanzaaa maana hii safari ukiipania sana hutoboi...!! Nilipo nikisonga vyema sio lazima kila mtu aajiriwe serikalinii..[emoji12][emoji12][emoji12]
mm katika harakati za kutafuta ajira serikali nilijifunza kutokuwa na Expectation kubwa sana,expectation zilinifelisha mara kadhaa expectation IKIWA kubwa maumivu ni makubwa mkuu hizi kazi ni kama mchezo wa bahati na sibuMkuu wewe inaonekana upo kwenye NG'Os za wamerakani ndio maana hauwazii[emoji28].
Ila sisi tuliopo huku Namanyere na Bulyanhulu ni kivumbi na jasho[emoji25]
Sent using Jamii Forums mobile app
M natamani iwe hvyo lakini kila saa najikuta nshatembelea huu Uzi kupata updatesmm katika harakati za kutafuta ajira serikali nilijifunza kutokuwa na Expectation kubwa sana,expectation zilinifelisha mara kadhaa expectation IKIWA kubwa maumivu ni makubwa mkuu hizi kazi ni kama mchezo wa bahati na sibu
watatuua kwa presha hawa kenge ..🤣 🤣M natamani iwe hvyo lakini kila saa najikuta nshatembelea huu Uzi kupata updates
Njaa na ugumu wa maisha ndio unaofanya vijana tuwe sensitive sana na ajira hasa hasa pale tunapohusika kwenye mchakato na kufikia hatua furan kisha tunaachwa dailema ndo tunapoteana kabisa.M natamani iwe hvyo lakini kila saa najikuta nshatembelea huu Uzi kupata updates
Ule uzi kaka kaufute umekupa laaniDaah Kwa sasa nimshushe pumzii kwanzaaa maana hii safari ukiipania sana hutoboi...!! Nilipo nikisonga vyema sio lazima kila mtu aajiriwe serikalinii..[emoji12][emoji12][emoji12]
[emoji28][emoji28][emoji28]Ule uzi kaka kaufute umekupa laani
Kibaya Zaidi MTU unasubiri ilihali hujui hata Kama ulifaulu au laaNjaa na ugumu wa maisha ndio unaofanya vijana tuwe sensitive sana na ajira hasa hasa pale tunapohusika kwenye mchakato na kufikia hatua furan kisha tunaachwa dailema ndo tunapoteana kabisa.
unaweza jikuta unasubiri meli stand.. 🤣 🤣Kibaya Zaidi MTU unasubiri ilihali hujui hata Kama ulifaulu au laa
Daaahh, mimi ilikuwa bado ngoja nifuatilie slip nione yaliyomoMapema sana kaka
Well saidmm katika harakati za kutafuta ajira serikali nilijifunza kutokuwa na Expectation kubwa sana,expectation zilinifelisha mara kadhaa expectation IKIWA kubwa maumivu ni makubwa mkuu hizi kazi ni kama mchezo wa bahati na sibu
unaweza jikuta unasubiri meli stand.. 🤣 🤣
Hata hawaangalii GPA,wanaangalia tu Kama unavyovigezo walivyoviorodheshaNaombeni tumaini ndugu zangu
Nimekuwa nikiomba maombi ya kazi utumishi Kama mara 5 na zote siwi shortlisted kwa ajili written interview
Sasa nawaza au ata utumishi nao wanaangalia GPA yako ndo wakuite kwaajili ya interview
Mimi na gpa ya 3.3 civil engineer
Nawaza Hadi nakosa tumaini
Naombeni tumaini ndugu zangu
Nimekuwa nikiomba maombi ya kazi utumishi Kama mara 5 na zote siwi shortlisted kwa ajili written interview
Sasa nawaza au ata utumishi nao wanaangalia GPA yako ndo wakuite kwaajili ya interview
Mimi na gpa ya 3.3 civil engineer
Nawaza Hadi nakosa tumaii
Na mimi nahitaji majibu ya hili swaliNaomba kuuliza. Kuna ambaye ashawahi pigiwa simu na TRA?
Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app