HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Nilikua nasubiria placement zimetoka juzi nimekosa 😭😭😭😭😭
Nimefungua app inasoma not selected for oral interview wakati nilichaguliwa nikafanya oral vizuri 😢😢😢 sijajua ni system au shida nini jaman
Hii ishu ya not selected situlishasema ukiona hivyo ujue hukufaulu oral huo ndo ukweli mchungu
 
Subiri kuna mtu anaitwa wizy atakuja kukuelewasha kama ni system au laa🥱
Sio system hakunaga cha system kuyumba wewe jiulize kwanini isiyumbe ikuandikie selected ukiwa umefeli kwenda oral?
Issue ipo hivi ukifaulu itakuwa selected for oral na selected for null umefaulu lakini usubiri data base na not selected hiyo baba jeni bye bye
 
Nilikuwa nataka kuisikia hii "BABA JENI BYE BYE. . !"

🤣🤣🤣
 
Sio system hakunaga cha system kuyumba wewe jiulize kwanini isiyumbe ikuandikie selected ukiwa umefeli kwenda oral?
Issue ipo hivi ukifaulu itakuwa selected for oral na selected for null umefaulu lakini usubiri data base na not selected hiyo baba jeni bye bye
Jaman 😭😭😭 nilisubiria mda mrefu hvy bora ningejua mapema, nina maumivu makali had nashindwa kula
 
Mwaka wa 5,kitaa niko overated nahitaji kazi tyu
Mim tangu 2011 ndugu yangu kuwa mpole tu Mungu ni mwema, usisikilizie saaana usiwe na expectation saaana Wewe fanya mambo yako huku ukiwa unaangalia Kwa web na app mara Kwa mara ila ukisema jambo hlo uliwaze masaa 24 sisi TULIOMALIZA chuo tangu 2011 tungeshajifia Kwa stress

Sent from my TECNO LE6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom