HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ivi wadau ukipeleka barua kwa HR ukiwa umepangiwa kazi, na ukampatia vyeti vyote vinavyohitajika, ila kimoja ulifanyaga Private candidate kwamaana Cha school candidate hukuchukuaga baada ya kuzingua ukaamua urudie mtihani. Swali langu ni kwamba, unaweza kukosa nafasi yako kupitia iyo scenario maana HR anahitaji kile cheti ambacho ulizingua na sio cha Private candidate
Hapo ili kuondoa utata ni vyema ukafata tu hiko cheti, Japo siyo muhimu, ila tayari ameweka SHÀKA, unaweza kumpa cheti cha cha SCHOOL CANDIDATE msela wako ...😅😅😅😅
 
Nilikua nasubiria placement zimetoka juzi nimekosa [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Nimefungua app inasoma not selected for oral interview wakati nilichaguliwa nikafanya oral vizuri [emoji22][emoji22][emoji22] sijajua ni system au shida nini jaman
Kabla ya placement app ilikuwa inasomaje?

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Nilikua nasubiria placement zimetoka juzi nimekosa [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Nimefungua app inasoma not selected for oral interview wakati nilichaguliwa nikafanya oral vizuri [emoji22][emoji22][emoji22] sijajua ni system au shida nini jaman
Huenda hufuatulii mara nyingi mijadala inayotolewa humu.....

Majibu ya hili swali yamo humu yashajibiwa toka mwaza jana
 
Nilikua nasubiria placement zimetoka juzi nimekosa [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Nimefungua app inasoma not selected for oral interview wakati nilichaguliwa nikafanya oral vizuri [emoji22][emoji22][emoji22] sijajua ni system au shida nini jaman
Pole sana, usikate tamaa, jipange kwa saili zijazo.
 
Nilikua nasubiria placement zimetoka juzi nimekosa 😭😭😭😭😭
Nimefungua app inasoma not selected for oral interview wakati nilichaguliwa nikafanya oral vizuri 😢😢😢 sijajua ni system au shida nini jaman
pole sana
 
Inabidi kuwa na uvumilivu maana unasubir placement kwa muda mrefu ikitoka napo unasubiri mda mrefu tena kupigiwa simu kwajili ya training na kuanza kazi. Wasaka ajira tunapitia mlolongo mrefu sana
Cha msingi nitoke kwenye pdf.....
Hata wamalize miezi sita tuitwe kazini lkn Amani ipo kuliko sasa ninabashiri kila mkeka
 
Back
Top Bottom