Utajua ujui
JF-Expert Member
- Aug 3, 2023
- 268
- 899
Kote niko selected web na app.Kuna web na apps usichanganye
Nauliza wanaupdate lini?
Nna week baada ya oral
Kote niko selected web na app.Kuna web na apps usichanganye
Bro tangu siku uliofanya oral mpaka una wiki moja tu?Kote niko selected web na app.
Nauliza wanaupdate lini?
Nna week baada ya oral
Mpaka sasa unatimiza wiki,au mim sijaelewaBro tangu siku uliofanya oral mpaka una wiki moja tu?
Nimefanya oral jumamosi.Mpaka sasa unatimiza wiki,au mim sijaelewa
Update ya oral na written lini inatolewa kwenye web na appBro tangu siku uliofanya oral mpaka una wiki moja tu?
Daaah KUWA na subra bro mim nilijua umefanya mwezi gan sijui majibu yatakapotoka ndio itakapobadilika status, KUWA mpole,Update ya oral na written lini inatolewa kwenye web na app
Muacheni mwenzenu jamani huu sio wakati sahihi. Subirini alete ushuhuda kama haleti walau msubirie siku mbili tatuMwamba kapotea gafla [emoji2][emoji2] alisema AICC ikitema atakuja toa ushuhuda hapa
Mbona mwamba wa juu kasema aliandikiwa not selected kabla ya replacementDaaah KUWA na subra bro mim nilijua umefanya mwezi gan sijui majibu yatakapotoka ndio itakapobadilika status, KUWA mpole,
Hiyo status itabadilika pale matokeo ya mtihani yatakapotoka na ni lini yatatoka WAO ndio waamuzi
Ila bado una matumaini usiache kufuatilia mikeka inayotoka unaweza kupata kupitia database lakini pia usiache kuomba nafasi zingineWakuu natoa FEEDBACK KAMA NILIVYO AHIDI
Kwenye hii post ya AICC
Naanza mwanzo
1.Matokeo ya written niliongoza namba moja.
2. Kwenye oral nilijibu maswali yote na mengine matatu walitoa kwenye written.
3. Kizaizai kilianza baada ya kwenye app kuwa not selected for oral kwa maandishi mekundu, afu kwenye web iko vile vile selected.
4. Placement imetoka tarehe 22/8/2023
Amepata mtu anaitwa faith
5. Wakuu nimepigwa ndoige najipanga na maisha mengine
Huenda haikuwa ridhiki
Mwisho
Inawezekana wanachosema wadau mko sahihi juu ya status.
Mnisamehe niliowajibu vibaya na pia hongereni mliopata nitajaribu mda mwingine
Kama Kuna mtu katoka private kuna connection ya hr anipe
Email: samsonmwasandube0@gmail.com
Asante.
😂😂😂😂Tuishi mzee babaPoa mzee wa mama jeni bye bye Kuna mda nilikufokea kinouma samahani mkuu.
Kuwa mpole mzee zitakuja tu huwa zinabadilika kuanzia shortlisted ndo zije huko selectedWakuu selected and not selected for oral Inatoka baada ya muda gani ukifanya oral.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ila we jamaa unachekesha sana sijajua kilichokupa stress ni nini. You're way too sensitive bwana utaweza kupambana na joto la mtaa kweli?Mmenipa stress mpaka nimefuta ajira portal app hadi nitakaporudi wakati mwingine.
Nimeandikiwa selected for oral
Mwaka wa 5,kitaa niko overated nahitaji kazi tyu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ila we jamaa unachekesha sana sijajua kilichokupa stress ni nini. You're way too sensitive bwana utaweza kupambana na joto la mtaa kweli?
Sensitive how?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ila we jamaa unachekesha sana sijajua kilichokupa stress ni nini. You're way too sensitive bwana utaweza kupambana na joto la mtaa kweli?
[emoji1787][emoji1787] sasa kumbe we mkongwe kabisa nikajua umetoka chuo jana bwana. Punguza moto hapa kila mtu anatoa maoni kulingana na uzoefu wake there's nothing personalMwaka wa 5,kitaa niko overated nahitaji kazi tyu
Yaani kila mtu anayekukosoa unahisi ana chuki na wewe. Sidhani kama kuna mtu anaweza kuwa na chuki au kumuonea wivu mtu ambae hamjuiSensitive how?
mie ni electricalMechanical engineers naona wamechukua Data base tu huo mkeka wa leo ,🤣🤣🤣
Vuta subira mkuu 😂😂😂😂
Ondoa stress mkuu, kufika oral ya PSRS sio mchezo, Na ni moja kati ya hatua kubwa Sana nikimaanisha umekaribia kulamba asali, kikubwa Iman, subiria pdf ndo msema kwelMwaka wa 5,kitaa niko overated nahitaji kazi tyu
Pole sana mkuu, Mungu ni mwema next time utatoboa tu.Wakuu natoa FEEDBACK KAMA NILIVYO AHIDI
Kwenye hii post ya AICC
Naanza mwanzo
1.Matokeo ya written niliongoza namba moja.
2. Kwenye oral nilijibu maswali yote na mengine matatu walitoa kwenye written.
3. Kizaizai kilianza baada ya kwenye app kuwa not selected for oral kwa maandishi mekundu, afu kwenye web iko vile vile selected.
4. Placement imetoka tarehe 22/8/2023
Amepata mtu anaitwa faith
5. Wakuu nimepigwa ndoige najipanga na maisha mengine
Huenda haikuwa ridhiki
Mwisho
Inawezekana wanachosema wadau mko sahihi juu ya status.
Mnisamehe niliowajibu vibaya na pia hongereni mliopata nitajaribu mda mwingine
Kama Kuna mtu katoka private kuna connection ya hr anipe
Email: samsonmwasandube0@gmail.com
Asante.
Pole sana mkuu, Mungu ni mwema next time utatoboa tu.