HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mkuu relax utaingia kundini very soon.

Maumivu ya kukosa kitu ulichokiwekea matumaini huwa ni makubwa, I can feel you!

Humu ndani tumeishi na tuendelea kuishi kwenye falsafa ya "hakuna kutaka tamaa", sina budi kukuasa kuendelea na hii falsafa. Yupo jamaa humu alikataa tamaa akataka kufuta account ya PSRS ila tulimuasa hatimaye siku ilipofika alilala akiwa jobless akaamka akiwa mtumishi wa umma. Na wewe siku yako ipo karibu, utafurahi na utasahau yote uliyowahi kuyapitia.
Popote ulipo ubalikiwe master ujawahi tuacha umu.
 
Wakuu habari, Kuna hizi interview za MDA na LGA zilifanyika June. Naona kama zimechelewa sana kuna mtu anajua hata tarehe ambazo pengine watatoa majibu? Natanguliza shukrani.
June tu hapo unasema zinachelewa wakati watu wengine wanamiezi ata sita kitu cha muhimu ukifanikiwa kuingia oral we fanya hiyo oral then endelea na mitikasi yako mingine otherwise utapata depression. Me nakumbuka nilipiga oral mbili mfululuzo katika week mbili katika taasisi zenye asali kubwa na nilikua ana matumaini makubwa ya kupata nikapunguza kasi kwenye mishemishe zangu, oya mzigo ulivyokuja kutoka sipo katika taasisi hata moja nilikua nina stress kinoma ila mwisho wasiku ikabidi nikubaliane na hali nikaendelea na mitikasi yangu.
Ikaja itokea tena interview nyingine zilikua nazo mbili nashukuru zote nikaingia oral nikafanya then nikazisahau. Ila nashukuru Mungu kupitia database nimepata placement na nilikua sijui washkaji tu wakanipigia simu kuniambia.
hizi mbili mbili za mwisho bado hazijatoka hadi leo na zina mda kidogo. Don't put too much expectation endelea na mitikasi mingine kuliko kusubiri kitu ambacho hujui kinatoka lini na kama utakuwepo au haupo.
 
Sawa, mkuu. Ngoja tupambane.
 
Mkuu mbona sijaona mikeka yeyote ile.
Ingia website ya utumishi ,type ,"utumishi updates " Google then ingia humo ,kila placement inayotoka lazima uangalie ,maana wanatoa kada mbali mbali kwenye mkeka mmoja
 
Ingia website ya utumishi ,type ,"utumishi updates " Google then ingia humo ,kila placement inayotoka lazima uangalie ,maana wanatoa kada mbali mbali kwenye mkeka mmoja
Nimeingia na kucheti, ni kweli kuna mikeka ila mingine bado. Ngoja tuendelee kusubiri.
 
Nimeingia na kucheti, ni kweli kuna mikeka ila mingine bado. Ngoja tuendelee kusubiri.
Ndio ,kuna mikeka mingi imeanza kutoka tangia mwezi wa saba ,sema kwa kada ya Electrical na mechanical Engineering naona wanajivuta sana ,wapo slow ,so tuvute subira
 
Wakuu natoa FEEDBACK KAMA NILIVYO AHIDI

Kwenye hii post ya AICC
Naanza mwanzo

1.Matokeo ya written niliongoza namba moja.

2. Kwenye oral nilijibu maswali yote na mengine matatu walitoa kwenye written.

3. Kizaizai kilianza baada ya kwenye app kuwa not selected for oral kwa maandishi mekundu, afu kwenye web iko vile vile selected.

4. Placement imetoka tarehe 22/8/2023
Amepata mtu anaitwa faith

5. Wakuu nimepigwa ndoige najipanga na maisha mengine
Huenda haikuwa ridhiki

Mwisho
Inawezekana wanachosema wadau mko sahihi juu ya status.

Mnisamehe niliowajibu vibaya na pia hongereni mliopata nitajaribu mda mwingine

Kama Kuna mtu katoka private kuna connection ya hr anipe
Email: samsonmwasandube0@gmail.com

Asante.
Mwamba pole sana lakini hongera kwa ukakamavu.
Nimependa post imekaa kisomi.

Naamini utapata post nzuri zaidi kutoka database. Usikate tamaa, wewe ni mtu muhimu sana humu. Tuendelee kujikongoja pamoja. 💪💪💪
 
Back
Top Bottom