HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wakuu natoa FEEDBACK KAMA NILIVYO AHIDI

Kwenye hii post ya AICC
Naanza mwanzo

1.Matokeo ya written niliongoza namba moja.

2. Kwenye oral nilijibu maswali yote na mengine matatu walitoa kwenye written.

3. Kizaizai kilianza baada ya kwenye app kuwa not selected for oral kwa maandishi mekundu, afu kwenye web iko vile vile selected.

4. Placement imetoka tarehe 22/8/2023
Amepata mtu anaitwa faith

5. Wakuu nimepigwa ndoige najipanga na maisha mengine
Huenda haikuwa ridhiki

Mwisho
Inawezekana wanachosema wadau mko sahihi juu ya status.

Mnisamehe niliowajibu vibaya na pia hongereni mliopata nitajaribu mda mwingine

Kama Kuna mtu katoka private kuna connection ya hr anipe
Email: samsonmwasandube0@gmail.com

Asante.
Mkuu relax utaingia kundini very soon.

Maumivu ya kukosa kitu ulichokiwekea matumaini huwa ni makubwa, I can feel you!

Humu ndani tumeishi na tuendelea kuishi kwenye falsafa ya "hakuna kutaka tamaa", sina budi kukuasa kuendelea na hii falsafa. Yupo jamaa humu alikataa tamaa akataka kufuta account ya PSRS ila tulimuasa hatimaye siku ilipofika alilala akiwa jobless akaamka akiwa mtumishi wa umma. Na wewe siku yako ipo karibu, utafurahi na utasahau yote uliyowahi kuyapitia.
 
Leo dogo amepata placements kupitia database.

Amepiga interview moja tu ..akaenda oral..

Alipiga oral TRC Ila bahati mbaya akapigwa ndoige..

Kwakweli nimejisikia faraja sana japokua kaka yake mambo bado magumu..

Wadau ambao hatujapata placement tuendelee kupambana...

Ipo siku na sisi tutapata.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera sana kwake, kila mmoja wetu nahakika atapata placement ni swala la muda Tu mkuu, tuongeze juhudi kuhudhuria izo interview
 
Ivi wadau ukipeleka barua kwa HR ukiwa umepangiwa kazi, na ukampatia vyeti vyote vinavyohitajika, ila kimoja ulifanyaga Private candidate kwamaana Cha school candidate hukuchukuaga baada ya kuzingua ukaamua urudie mtihani. Swali langu ni kwamba, unaweza kukosa nafasi yako kupitia iyo scenario maana HR anahitaji kile cheti ambacho ulizingua na sio cha Private candidate
 
kinachotakiwa ni kile cha school candidate
 
Ivi wadau ukipeleka barua kwa HR ukiwa umepangiwa kazi, na ukampatia vyeti vyote vinavyohitajika, ila kimoja ulifanyaga Private candidate kwamaana Cha school candidate hukuchukuaga baada ya kuzingua ukaamua urudie mtihani. Swali langu ni kwamba, unaweza kukosa nafasi yako kupitia iyo scenario maana HR anahitaji kile cheti ambacho ulizingua na sio cha Private candidate
HR atahitaji cheti kilichokupa sifa ya kusoma chuo na sifa ya kukuwezesha kuomba hiyo kazi!! Hicho cha private ndiyo chenyewe hana kigezo cha kukikataa maana ndicho kilichokuwezesha kufika hapo ulipo, Hicho cha school candidate ni vizuri pia ukawa nacho lakini si kikwazo!
 
Nimekuelewa kaka, ngoja nikifatilie maana niliachana nacho baada ya kuona nimepata kingine kisafi zaidi ya kile
 
Back
Top Bottom