HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hapa umesema mkuu,post yoyote hata kama nafasi imeandikwa moja, vijana tusisite kuomba

Sent from my TECNO LE6 using JamiiForums mobile app
Well said nakumbuka oral yangu yakwanza kufanya tulikua 10 na ilikua heavy sababu hakukua na swali la mention yote yalikua explain na watu wankukazia kabisa ila nashukuru Mungu ile taasisi ilichukua watu wake wawili tuliobaki wote tumepangiwa taasisi tofauti ingawa kila mtu kwa muda wake maana wengine walishaanza kazi kitambo wengi bado wanasubili taratibu za kukamilisha ajira. All in all usiache kuomba pale nafasi zinapotoke na ukiitwa kwenye interview usiache kwenda hata kama position ni moja na kingine fanya maandalizi yakutosha ili usiishie kupoteza nauli.
 
Namshukuru Mungu na wadau humu ndani, nimepata japo ni kichupa cha asali, lakini nina furaha.

Nilipitia ups and downs nyingi, ni takribani miaka 10, interview yangu ya kwanza nilianza pale utumishi ikiwa Dar, mitaa ya posta.

Nimepiga interview za utumishi kama 8, hivi, but now Mungu kaona ni wakati wangu rasmi.

Kikubwa sikuwa na taarifa na nilishakata tamaa, jamaa yangu ndiyo kanipigia simu hapa, nacheki majina ya tarehe 24, nimo, what a joyous moment.
 
Hongera comrade ukawe mtumishi bora

Sent from my TECNO LE6 using JamiiForums mobile app
 
Namshukuru Mungu na wadau humu ndani, nimepata japo ni kichupa cha asali, lakini nina furaha.

Nilipitia ups and downs nyingi, ni takribani miaka 10, interview yangu ya kwanza nilianza pale utumishi ikiwa Dar, mitaa ya posta.

Nimepiga interview za utumishi kama 8, hivi, but now Mungu kaona ni wakati wangu rasmi.

Kikubwa sikuwa na taarifa na nilishakata tamaa, jamaa yangu ndiyo kanipigia simu hapa, nacheki majina ya tarehe 24, nimo, what a joyous moment.
Hongera sana mkuu, ukawe mtumishi mwadilifu na mchapa kazi
 
Namshukuru Mungu na wadau humu ndani, nimepata japo ni kichupa cha asali, lakini nina furaha.

Nilipitia ups and downs nyingi, ni takribani miaka 10, interview yangu ya kwanza nilianza pale utumishi ikiwa Dar, mitaa ya posta.

Nimepiga interview za utumishi kama 8, hivi, but now Mungu kaona ni wakati wangu rasmi.

Kikubwa sikuwa na taarifa na nilishakata tamaa, jamaa yangu ndiyo kanipigia simu hapa, nacheki majina ya tarehe 24, nimo, what a joyous moment.
Hongera sana mwamba.
 
Hongera sana brother..

Ukawe mtumishi mwema..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namshukuru Mungu na wadau humu ndani, nimepata japo ni kichupa cha asali, lakini nina furaha.

Nilipitia ups and downs nyingi, ni takribani miaka 10, interview yangu ya kwanza nilianza pale utumishi ikiwa Dar, mitaa ya posta.

Nimepiga interview za utumishi kama 8, hivi, but now Mungu kaona ni wakati wangu rasmi.

Kikubwa sikuwa na taarifa na nilishakata tamaa, jamaa yangu ndiyo kanipigia simu hapa, nacheki majina ya tarehe 24, nimo, what a joyous moment.
Hongera sana kiongozi, ama kwa hakika muda wako umefika. kila la heri ukawe mtumishi mwema.
 
Namshukuru Mungu na wadau humu ndani, nimepata japo ni kichupa cha asali, lakini nina furaha.

Nilipitia ups and downs nyingi, ni takribani miaka 10, interview yangu ya kwanza nilianza pale utumishi ikiwa Dar, mitaa ya posta.

Nimepiga interview za utumishi kama 8, hivi, but now Mungu kaona ni wakati wangu rasmi.

Kikubwa sikuwa na taarifa na nilishakata tamaa, jamaa yangu ndiyo kanipigia simu hapa, nacheki majina ya tarehe 24, nimo, what a joyous moment.
Hongereni sana Mkuu, kila la kheri kwenye majukumu yako mapya
 
Namshukuru Mungu na wadau humu ndani, nimepata japo ni kichupa cha asali, lakini nina furaha.

Nilipitia ups and downs nyingi, ni takribani miaka 10, interview yangu ya kwanza nilianza pale utumishi ikiwa Dar, mitaa ya posta.

Nimepiga interview za utumishi kama 8, hivi, but now Mungu kaona ni wakati wangu rasmi.

Kikubwa sikuwa na taarifa na nilishakata tamaa, jamaa yangu ndiyo kanipigia simu hapa, nacheki majina ya tarehe 24, nimo, what a joyous moment.
Hongera sana mkuu
 
Sio system hakunaga cha system kuyumba wewe jiulize kwanini isiyumbe ikuandikie selected ukiwa umefeli kwenda oral?
Issue ipo hivi ukifaulu itakuwa selected for oral na selected for null umefaulu lakini usubiri data base na not selected hiyo baba jeni bye bye
duuuhh
 
Back
Top Bottom