Blueprint 9
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 807
- 1,402
wizy mbona ameshamaliza kila.kitu mkuuJaman naomba kuuliza ilo swala la status ni kweli au sio kweli
wizy mbona ameshamaliza kila.kitu mkuuJaman naomba kuuliza ilo swala la status ni kweli au sio kweli
Kwa mtazamo wangu suala hili hukoma kwenye Oral invitation mana Kuna mtu wangu alialikwa Feb mwaka huu na hakwemda Oral lkn Hadi Leo Iko vile vile Selected for Oral ya kijani KIBICHII..🫒Jaman naomba kuuliza ilo swala la status ni kweli au sio kweli
Humu walishasema usilete habari za kuna MTU wanataka evidence ya mtu yeye kama yeye haya mambo ya kuna MTU humu washakataaKwa mtazamo wangu suala hili hukoma kwenye Oral invitation mana Kuna mtu wangu alialikwa Feb mwaka huu na hakwemda Oral lkn Hadi Leo Iko vile vile Selected for Oral ya kijani KIBICHII..🫒
huwa inapitia mabadiliko kadhaa achana na kubaki hivyo hivyo ukikaza ubongo ni sawa pia au ikuandikie not selected baada ya oral halafu usubirie pdf???Kwa mtazamo wangu suala hili hukoma kwenye Oral invitation mana Kuna mtu wangu alialikwa Feb mwaka huu na hakwemda Oral lkn Hadi Leo Iko vile vile Selected for Oral ya kijani KIBICHII..🫒
Hongera champNamshukuru Mungu na wadau humu ndani, nimepata japo ni kichupa cha asali, lakini nina furaha.
Nilipitia ups and downs nyingi, ni takribani miaka 10, interview yangu ya kwanza nilianza pale utumishi ikiwa Dar, mitaa ya posta.
Nimepiga interview za utumishi kama 8, hivi, but now Mungu kaona ni wakati wangu rasmi.
Kikubwa sikuwa na taarifa na nilishakata tamaa, jamaa yangu ndiyo kanipigia simu hapa, nacheki majina ya tarehe 24, nimo, what a joyous moment.
Hongera champ
Honger Sana mkuu.shuhuda zenu zinatutia moyo Sana tunaoendelea kusubiri hizi placementNamshukuru Mungu na wadau humu ndani, nimepata japo ni kichupa cha asali, lakini nina furaha.
Nilipitia ups and downs nyingi, ni takribani miaka 10, interview yangu ya kwanza nilianza pale utumishi ikiwa Dar, mitaa ya posta.
Nimepiga interview za utumishi kama 8, hivi, but now Mungu kaona ni wakati wangu rasmi.
Kikubwa sikuwa na taarifa na nilishakata tamaa, jamaa yangu ndiyo kanipigia simu hapa, nacheki majina ya tarehe 24, nimo, what a joyous moment.
kama umezaliwa 98.. siona haja ya kuumia kiasi hicho bado una nafasi nying sana za kutoboa binti. Kikubwa DUA.Jaman 😭😭😭 nilisubiria mda mrefu hvy bora ningejua mapema, nina maumivu makali had nashindwa kula
Mkuu naomba unieleweshe.... mtu amefanya oral na hajapata placement mpaka leo, ila account yake ya ajira portal inasoma "SELECTED FOR ORAL", je huyu anapaswa aendelee kusuburi au ndo imeisha hiyo.?Sio system hakunaga cha system kuyumba wewe jiulize kwanini isiyumbe ikuandikie selected ukiwa umefeli kwenda oral?
Issue ipo hivi ukifaulu itakuwa selected for oral na selected for null umefaulu lakini usubiri data base na not selected hiyo baba jeni bye bye
Haijaisha maana yake alifaulu oral ila kulingana na nafasi zilizokuwepo hakupata placement kwa hiyo yupo kwenye database. Hapo achague yeye aendelee kusubiria nafasi ambayo hajui itatoka lini au aendelee na maisha yake huku akiendelea kuomba nafasi zinazotoka.Mkuu naomba unieleweshe.... mtu amefanya oral na hajapata placement mpaka leo, ila account yake ya ajira portal inasoma "SELECTED FOR ORAL", je huyu anapaswa aendelee kusuburi au ndo imeisha hiyo.?
Imepita muda gani kuanzia afanye Oral?Mkuu naomba unieleweshe.... mtu amefanya oral na hajapata placement mpaka leo, ila account yake ya ajira portal inasoma "SELECTED FOR ORAL", je huyu anapaswa aendelee kusuburi au ndo imeisha hiyo.?
Kafanya februaryImepita muda gani kuanzia afanye Oral?
Awe mpole mpaka mwezi Feb 2024 database ndio ina expire.Kafanya february
Hata mm nimeona Hilo,wachangia mada karibia wote washalamba asaliMpaka sasa kitu pekee ninachoweza kushuhudia humu kama miongoni mwa tuliochangia uzi tangu mapema wakati unaanza anza, ni kwamba watu wengi wanaojitolea kuwapa wengine faraja au maelekezo ya nini wafanye kipindi wamekwama kwenye huu mchakato wa kutafuta ajira huwa na wao wanafanikiwa kupata ajira mapema sana.
Wito wangu ni tusichoke kufariji wengine na kuwakwamua wanaoleta michango inayohitaji msaada wa kimawazo, kuna namna tusizozijua hii kitu inalipa sana na haina hasara.
Huu uzi umebarikiwa endeleeni kuchangia mlambe asali,,,, serikalini kutamu haijaalishi umebahatika wapi kupata , serikalini sio kazi ya mchina au muhindi kuna nidhamu flani na heshima cha msingi hata kama una elimu ya kawaida ji upgrade uwe vyema zaidi, kuonekana jitihada yako serikalini ni rahisi zaidi.Hata mm nimeona Hilo,wachangia mada karibia wote washalamba asali
🤣🤣Asali tamuHata mm nimeona Hilo,wachangia mada karibia wote washalamba asali
Inshallah na Sisi tutalamba one day[emoji1787][emoji1787]Asali tamu
Hasa ya nyuki wadogo
Subira yavuta heri mtapata.Inshallah na Sisi tutalamba one day
hahahaa Pdf la kuanzia weekend.IT andaa pdf ndefuu 💥💥💥 tunaisubiri.
Ni muda sasa hatujaona pdf ya PAGE 10.
Wewe ni mtu wetuu.