Stelingi
JF-Expert Member
- Dec 23, 2022
- 703
- 1,928
nasubiri hii shuhuda ya mwanetu.Mkuu sam mirror 1 AICC wametema vip uhakika?
nasubiri hii shuhuda ya mwanetu.Mkuu sam mirror 1 AICC wametema vip uhakika?
Usikate tamaa kijana mwamini mungu, tu ipo siku utatokea kwenye mkeka wa kuitwa kazini.Hongera zao waliopata aiseee..
mimi naoa kama naelekea kukosa matumaini kwenye nafasi 13 yametoka majina 10 na simo😅😅😅
Kada yenu walikuwa wanahitajika wangapi?Leo mwanangu nae sota nae amechomoka kwenye hizi pdf za leo ,tulipiga pamoja pepa ya oral pale domu.
hii imenipa faraja sana ya mm kufikiwa hivi karibuni
database mkuuKada yenu walikuwa wanahitajika wangapi?
Saivi wanadili na database tu,hawana muda wa kutangaza kazi mpya na wakati database ina watu nyomi we acha waendelee kusafisha database kwanza.
Hizo safari na semina utaenda wewe tu kwani ofisini uko peke yako? Na usiombe ukawa na boss mwenye ukabila utasugua benchi sana. Sio watumishi wote wa wizara wana safari. Kuna wizara moja Engineer alitakiwa kwenda nje ya nchi training ila wadau walipoona posho ile ya nje ya nchi barua waliichekecha akaenda muhasibu. Mkuu sijui kama unajua mazingira halisi ya kazi za wizarani na halmashauri au umesikia kwa mtu.Nikuulize swali kwani kinachomata serikalini sana ni salary au posho na safari?
Mtu unaweza kumkuta kaajiriwa wizara ya ujenzi au wizara ya afya na anapokea hiyo TGS...
Ila kila mwezi ana safari na anakula perdiem kwa siku 15 perdiem ya 150k
Mbali extra duties, mbali seminars za kila mwezi, vikao, bonus.
Huyu kweli TGS... inamata kwakwe?
Hao unaopenda kuwataja sijui TPDC mshahara huo wa 2M hawafiki labda useme bonus nyengine hapo ndio nitakuelewa.
Let say electrical engineer wa tpdc anapokea 1.5M
Kata kodi ya TRA
NSSF
income tax.
Bodi ya mikopo.
NHIF
Wcf( if any)
Vp ana mshahara wa maana hapo?
Funguka akili watu serikalini hawaishi kwa mshahara tu bali ni posho na hela za safari.
Mshahara haujawahi kutosha siku zote.
Naanza na mm leoHongera sana mkuu ukawe mtumishi mwema, shuhuda kama hizi ndio tunazozitaka.
Nilichogundua ukiwa unachangia changia katika uzi huu lazma ulambe asali 😅
Wameanza wakina mwifwa na wenziwe, wakafuata wengine tukaja sisi, ukaja ww sasa atafuata mfwende sawadogo kwa sababu huu uzi umebarikiwa 😊
Nilidhani niko mwenyew nayechangiaga humu kwa ambao hatujawahi fika oral, nmepata company sasa [emoji3].Kwa kweli post za kazi zimepungua sanaa, utumishi wasitusahau na ambao hatujawahi kufika oral[emoji18][emoji18]
Vuta subra mkuu asali pure kwaajili yako yajaWataalamu tupeane bussiness ideas na michongo ya kutafuta hela naona psrs kumekuwa kugumu na maisha yanatakiwa yaende. Jua kali sana😥😥😥😥😥😥😥.
Kila pdf ikitoka hola miaka inakatika, aysee sio poaaa.
Mkuu bado mapema sana kukataa tamaa, kemea iyo roho, piga michongo mengine uku ukiisikilizia PSRS siku moja na wewe utaibuka kwenye asali nzito Tu, kikubwa ImanWataalamu tupeane bussiness ideas na michongo ya kutafuta hela naona psrs kumekuwa kugumu na maisha yanatakiwa yaende. Jua kali sana😥😥😥😥😥😥😥.
Kila pdf ikitoka hola miaka inakatika, aysee sio poaaa.
Dah asee😳 kumbe haya mambo yapo kwel...Hizo safari na semina utaenda wewe tu kwani ofisini uko peke yako? Na usiombe ukawa na boss mwenye ukabila utasugua benchi sana. Sio watumishi wote wa wizara wana safari. Kuna wizara moja Engineer alitakiwa kwenda nje ya nchi training ila wadau walipoona posho ile ya nje ya nchi barua waliichekecha akaenda muhasibu. Mkuu sijui kama unajua mazingira halisi ya kazi za wizarani na halmashauri au umesikia kwa mtu.
Ata me naona kumekuwa kugumu asee.. hapa nawaza kilimo cha irrigation au ata kujishikiza kwenye car wash.. maana huwezi jua Mungu katupangia wapi wengine kutoboaWataalamu tupeane bussiness ideas na michongo ya kutafuta hela naona psrs kumekuwa kugumu na maisha yanatakiwa yaende. Jua kali sana😥😥😥😥😥😥😥.
Kila pdf ikitoka hola miaka inakatika, aysee sio poaaa.
Ukishasaini mkataba na mwajiri, kupangiwa kituo cha kazi ni maamuzi ya mwajiri sio yako tena. Mfano umefanya interview nafasi ya mkaguzi wa ndani/Internal Auditor. Ukiripoti pale unaweza kupangiwa hata kuwa afisa hesabu Zahanati, shule, kata au soko. Kuna kipengele kwenye barua "na utatekeleza majukumu mengine utakayopangiwa na mkuu wako"Habari wadau
Naomba kuuliza. Hivi ukiwa umepata placement halmashauri x kwenye position y ambayo wakati unaifanyia usaili ilikuwa na majukumu z. Sasa umeripoti kazini boss wako hapo halmashauri x akakupangia kituo cha kazi kingine ambacho kina majukumu tofauti kabisa na ya awali. Unaweza lalamika na ukasikilizwa?
Shukrani
Hivi mkuu unasubili Data base au unasubili direct kabisa??Wataalamu tupeane bussiness ideas na michongo ya kutafuta hela naona psrs kumekuwa kugumu na maisha yanatakiwa yaende. Jua kali sana[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26].
Kila pdf ikitoka hola miaka inakatika, aysee sio poaaa.
Kama ni hivyo basi kila sehemu hupo pekee yako na ukabila upo pale pale...Hizo safari na semina utaenda wewe tu kwani ofisini uko peke yako? Na usiombe ukawa na boss mwenye ukabila utasugua benchi sana. Sio watumishi wote wa wizara wana safari. Kuna wizara moja Engineer alitakiwa kwenda nje ya nchi training ila wadau walipoona posho ile ya nje ya nchi barua waliichekecha akaenda muhasibu. Mkuu sijui kama unajua mazingira halisi ya kazi za wizarani na halmashauri au umesikia kwa mtu.