HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
IT wa PSRS unajua kutufurahisha jobless. Hustling zetu umezibeba kama zako, ubarikiwe sana na mwakani wakupe na tuzo ya ufanyakazi Bora, maana kwa izo pdf naona kama zamu yangu kulamba asali imekaribia, Big up kubwa Sana na kwa katibu speed nzuri Sana ya kusign izo barua, hakikia naamini kwa izo speed tutalamba asali kwa wakati
 
Back
Top Bottom