HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wakuu natoa FEEDBACK KAMA NILIVYO AHIDI

Kwenye hii post ya AICC
Naanza mwanzo

1.Matokeo ya written niliongoza namba moja.

2. Kwenye oral nilijibu maswali yote na mengine matatu walitoa kwenye written.

3. Kizaizai kilianza baada ya kwenye app kuwa not selected for oral kwa maandishi mekundu, afu kwenye web iko vile vile selected.

4. Placement imetoka tarehe 22/8/2023
Amepata mtu anaitwa faith

5. Wakuu nimepigwa ndoige najipanga na maisha mengine
Huenda haikuwa ridhiki

Mwisho
Inawezekana wanachosema wadau mko sahihi juu ya status.

Mnisamehe niliowajibu vibaya na pia hongereni mliopata nitajaribu mda mwingine

Kama Kuna mtu katoka private kuna connection ya hr anipe
Email: samsonmwasandube0@gmail.com

Asante.
 
Tupo pamoja kiongozi ishi na wazee vizuri theory zipo ili zituongoze hongera pia kukubali ukweli mchungu
 
Wakuu natoa FEEDBACK KAMA NILIVYO AHIDI

Kwenye hii post ya AICC
Naanza mwanzo

1.Matokeo ya written niliongoza namba moja.

2. Kwenye oral nilijibu maswali yote na mengine matatu walitoa kwenye written.

3. Kizaizai kilianza baada ya kwenye app kuwa not selected for oral kwa maandishi mekundu, afu kwenye web iko vile vile selected.

4. Placement imetoka tarehe 22/8/2023
Amepata mtu anaitwa faith

5. Wakuu nimepigwa ndoige najipanga na maisha mengine
Huenda haikuwa ridhiki

Mwisho
Inawezekana wanachosema wadau mko sahihi juu ya status.

Mnisamehe niliowajibu vibaya na pia hongereni mliopata nitajaribu mda mwingine

Kama Kuna mtu katoka private kuna connection ya hr anipe
Email: samsonmwasandube0@gmail.com

Asante.
Daah pole sana kiongozi next time utatoboa mapambano hayajamaliza.

Hili swala la status inaonesha ni kweli.
 
Wakuu natoa FEEDBACK KAMA NILIVYO AHIDI

Kwenye hii post ya AICC
Naanza mwanzo

1.Matokeo ya written niliongoza namba moja.

2. Kwenye oral nilijibu maswali yote na mengine matatu walitoa kwenye written.

3. Kizaizai kilianza baada ya kwenye app kuwa not selected for oral kwa maandishi mekundu, afu kwenye web iko vile vile selected.

4. Placement imetoka tarehe 22/8/2023
Amepata mtu anaitwa faith

5. Wakuu nimepigwa ndoige najipanga na maisha mengine
Huenda haikuwa ridhiki

Mwisho
Inawezekana wanachosema wadau mko sahihi juu ya status.

Mnisamehe niliowajibu vibaya na pia hongereni mliopata nitajaribu mda mwingine

Kama Kuna mtu katoka private kuna connection ya hr anipe
Email: samsonmwasandube0@gmail.com

Asante.
Tunaombeana Champion sisi wote Bado wahanga humu Tunazidi kuomba Matangazo ya kazi yaje kwa wingi na Tuongeze received.... na ridhiki inatoka kwa Mungu peke yake....
Tunaishi Tunapambana Mungu siku moja atatupa hzo ridhiki kwa wakati ulio sahihi
 
Wakuu natoa FEEDBACK KAMA NILIVYO AHIDI

Kwenye hii post ya AICC
Naanza mwanzo

1.Matokeo ya written niliongoza namba moja.

2. Kwenye oral nilijibu maswali yote na mengine matatu walitoa kwenye written.

3. Kizaizai kilianza baada ya kwenye app kuwa not selected for oral kwa maandishi mekundu, afu kwenye web iko vile vile selected.

4. Placement imetoka tarehe 22/8/2023
Amepata mtu anaitwa faith

5. Wakuu nimepigwa ndoige najipanga na maisha mengine
Huenda haikuwa ridhiki

Mwisho
Inawezekana wanachosema wadau mko sahihi juu ya status.

Mnisamehe niliowajibu vibaya na pia hongereni mliopata nitajaribu mda mwingine

Kama Kuna mtu katoka private kuna connection ya hr anipe
Email: samsonmwasandube0@gmail.com

Asante.
Tupo pamoja mkuu don’t give up huenda hii haikua yako, yako inakuja next time inshallah usiache kuongeza received mambo mazuri zaidi yanakuja mbeleni🫡
 
Wakuu natoa FEEDBACK KAMA NILIVYO AHIDI

Kwenye hii post ya AICC
Naanza mwanzo

1.Matokeo ya written niliongoza namba moja.

2. Kwenye oral nilijibu maswali yote na mengine matatu walitoa kwenye written.

3. Kizaizai kilianza baada ya kwenye app kuwa not selected for oral kwa maandishi mekundu, afu kwenye web iko vile vile selected.

4. Placement imetoka tarehe 22/8/2023
Amepata mtu anaitwa faith

5. Wakuu nimepigwa ndoige najipanga na maisha mengine
Huenda haikuwa ridhiki

Mwisho
Inawezekana wanachosema wadau mko sahihi juu ya status.

Mnisamehe niliowajibu vibaya na pia hongereni mliopata nitajaribu mda mwingine

Kama Kuna mtu katoka private kuna connection ya hr anipe
Email: samsonmwasandube0@gmail.com

Asante.
Daaah, ujumbe wa maumivu sana,comrade endelea kuomba Mungu,Mungu Hana ubia mtu.Ipo siku tu utapata,Tuongeze Imani kwa Mungu tu
 
Wakuu natoa FEEDBACK KAMA NILIVYO AHIDI

Kwenye hii post ya AICC
Naanza mwanzo

1.Matokeo ya written niliongoza namba moja.

2. Kwenye oral nilijibu maswali yote na mengine matatu walitoa kwenye written.

3. Kizaizai kilianza baada ya kwenye app kuwa not selected for oral kwa maandishi mekundu, afu kwenye web iko vile vile selected.

4. Placement imetoka tarehe 22/8/2023
Amepata mtu anaitwa faith

5. Wakuu nimepigwa ndoige najipanga na maisha mengine
Huenda haikuwa ridhiki

Mwisho
Inawezekana wanachosema wadau mko sahihi juu ya status.

Mnisamehe niliowajibu vibaya na pia hongereni mliopata nitajaribu mda mwingine

Kama Kuna mtu katoka private kuna connection ya hr anipe
Email: samsonmwasandube0@gmail.com

Asante.
Pole sana mkuu usikate tamaa....database pia ipo na inafnya kazi
 
Back
Top Bottom