HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Vita ni vita muraa. Naam ni vita ya maombi, yan kila mtu ana ombi lake na anatamani iwe km aombavyo.

Kuna person A- huyu yeye ashafika oral na majibu ya placement tayari ila hakufanikiwa kupata direct placement Ila ana matumain ya data base, huyu ombi lake n kwamba ikiwezekana ata hiz nafas mpya zilizopo jikoni wasitangaze tu bali wachukue kutoka database kwanza.
"It can be otherwise"

Kuna person B- huyu yeye kafika oral ila majibu ya placement bado, ivyo ombi lake bado n kupata nafas tu either direct placement au km ikikosekana bas ata aingie database. Ila majibu ya placement yakitoka na asipopata, bas maombi yake naye yata badirika yatakua kama ya person A.
"It can be otherwise too

Afu kuna huyu person C- huyu hajawahi ingia oral kaishia written tu, maombi yake kwa sasa n afanikiwe kuingia oral na yeye, then after there akitoboa oral ata akiingia tu database so mbaya. Huyu maombi yake yako tofaut na person A, kwamba wkt Person A ana omba nafasi mpya if possible wasi advertise kaz mpya bali wachukue database yeye (person C) ombi lake n vice versa ikiwezekana suala la kuchukua data base wasitishe kwanza waongeze received kwanza[emoji3]. Ila na yeye akitoboa ombi lake litakua kama la person B na after majibu ya placement ombi lake litakua kama la person A. Sijui nataka kusema nn apa
"It can be otherwise too"

Ni hiv, nadhan sote tunapita njia 1 na uelekeo wetu n mmoja, matakwa yetu yanabadirika kutokana na wakati, ila lengo kuu ni moja, kuingia kwenye system. Hakuna mwenye chuki na mtu mwngne apa jukwaani muhimu ni kuelewa tu kua tuna matakwa yetu madogo madogo ambayo hubadirika kutokana na wakati. Unapokua una comment humu bas iweke akili yako ktk position ya kupokea lolote other wise ukiwa na closed mind utaishia kukwaruzana na wana jukwaa.

Usiku mwema nyote.
 
Ata me naona kumekuwa kugumu asee.. hapa nawaza kilimo cha irrigation au ata kujishikiza kwenye car wash.. maana huwezi jua Mungu katupangia wapi wengine kutoboa
Yap muhimu kuanza kuchungulia na pande zingine.
 
Mkeka mpya wa pdf umetoka tena mda huu,dah maumiv tena Yan unaumia unaangalia pdf af hujioni.dah,but "wakati sahihi ni wakati wa Mwenyez Mungu".. inshallah nitapata tu kwnye next pdf
inaboa sana kila siku kuona wengine wakivuta buyu la asali alafu huoni dalili hata ya nyuki 🤣🤣.kuna bee officer mwingine uko kwenye pdf anaenda kurina asali live..!!
 
Back
Top Bottom