HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ni kweli ndugu Ila hii siyo poa,Jambo la kwanza linakuwaga ni kupata,ukishapata kazi Sasa tamaa ya mwanadamu inaanza kuangalia malisho mazuri,haiwezkan degree moja halmashauri analipwa laki 7,degree hiyo hiyo TPDC alalipwa karibu milioni 2,hii siyo sawa ndugu,
Nani aliekudanganya kuwa tpdc wanalipwa milioni mbili usilolijua ni sawa na usiku wa giza.

Tamaa mbaya aise mtaka vyote hukosa vyote 😅
 
Ni kweli ndugu Ila hii siyo poa,Jambo la kwanza linakuwaga ni kupata,ukishapata kazi Sasa tamaa ya mwanadamu inaanza kuangalia malisho mazuri,haiwezkan degree moja halmashauri analipwa laki 7,degree hiyo hiyo TPDC alalipwa karibu milioni 2,hii siyo sawa ndugu,
Ww si ulisema umeajiriwa wizarani inakuwaje tena unasema umeajiriwa halmashauri?
 
Ni kweli ndugu Ila hii siyo poa,Jambo la kwanza linakuwaga ni kupata,ukishapata kazi Sasa tamaa ya mwanadamu inaanza kuangalia malisho mazuri,haiwezkan degree moja halmashauri analipwa laki 7,degree hiyo hiyo TPDC alalipwa karibu milioni 2,hii siyo sawa ndugu,
Hii unatolea mfano au ndio umekalilishwa !
Eti 2M aloo
 
Kikubwa tu vijana TUACHE kukandia madaraja ya mishahara kama malengo yetu ni makubwa kuliko mishahara hizi kazi tusiombe Tuache wenye uhitaji tuombe hii kuomba alafu unapata unaanza sema mshahara sijui Nini WAKATI umesoma profile ya taasisi life span ya taasisi na levels za salary,mnaumiza sana sisi waomba Mungu

Unakuta mtu kaomba kazi DC anajua kabisa level za mishahara na nafas aloomba, anapata anasema siendi mshahara mdogo, hizi nafasi kuna watu wanazitaka kwelikweli Tuache mzaha
 
Huo ni mfano tu ndugu,Kuna neno hapo nimesema nimeajiriwa halmashauri???hata na hiyo wote ni TGS
Nikuulize swali kwani kinachomata serikalini sana ni salary au posho na safari?

Mtu unaweza kumkuta kaajiriwa wizara ya ujenzi au wizara ya afya na anapokea hiyo TGS...

Ila kila mwezi ana safari na anakula perdiem kwa siku 15 perdiem ya 150k
Mbali extra duties, mbali seminars za kila mwezi, vikao, bonus.

Huyu kweli TGS... inamata kwakwe?

Hao unaopenda kuwataja sijui TPDC mshahara huo wa 2M hawafiki labda useme bonus nyengine hapo ndio nitakuelewa.

Let say electrical engineer wa tpdc anapokea 1.5M

Kata kodi ya TRA
NSSF
income tax.
Bodi ya mikopo.
NHIF
Wcf( if any)

Vp ana mshahara wa maana hapo?

Funguka akili watu serikalini hawaishi kwa mshahara tu bali ni posho na hela za safari.

Mshahara haujawahi kutosha siku zote.
 
Back
Top Bottom