HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Nikuulize swali kwani kinachomata serikalini sana ni salary au posho na safari?

Mtu unaweza kumkuta kaajiriwa wizara ya ujenzi au wizara ya afya na anapokea hiyo TGS...

Ila kila mwezi ana safari na anakula perdiem kwa siku 15 perdiem ya 150k
Mbali extra duties, mbali seminars za kila mwezi, vikao, bonus.

Huyu kweli TGS... inamata kwakwe?

Hao unaopenda kuwataja sijui TPDC mshahara huo wa 2M hawafiki labda useme bonus nyengine hapo ndio nitakuelewa.

Let say electrical engineer wa tpdc anapokea 1.5M

Kata kodi ya TRA
NSSF
income tax.
Bodi ya mikopo.
NHIF
Wcf( if any)

Vp ana mshahara wa maana hapo?

Funguka akili watu serikalini hawaishi kwa mshahara tu bali ni posho na hela za safari.

Mshahara haujawahi kutosha siku zote.
Watu wanakalilishwa sana na maneno ya mitaani, umemaliza Kila kitu comrade🙏
 
Nikuulize swali kwani kinachomata serikalini sana ni salary au posho na safari?

Mtu unaweza kumkuta kaajiriwa wizara ya ujenzi au wizara ya afya na anapokea hiyo TGS...

Ila kila mwezi ana safari na anakula perdiem kwa siku 15 perdiem ya 150k
Mbali extra duties, mbali seminars za kila mwezi, vikao, bonus.

Huyu kweli TGS... inamata kwakwe?

Hao unaopenda kuwataja sijui TPDC mshahara huo wa 2M hawafiki labda useme bonus nyengine hapo ndio nitakuelewa.

Let say electrical engineer wa tpdc anapokea 1.5M

Kata kodi ya TRA
NSSF
income tax.
Bodi ya mikopo.
NHIF
Wcf( if any)

Vp ana mshahara wa maana hapo?

Funguka akili watu serikalini hawaishi kwa mshahara tu bali ni posho na hela za safari.

Mshahara haujawahi kutosha siku zote.
Kweli ndugu
 
Njooni Twitter psrs wapo active na wana jibu kila comment
 
Attachments

  • Screenshot_20230821-232557_X.jpg
    Screenshot_20230821-232557_X.jpg
    88.8 KB · Views: 6
Si kwa ubaya ila vijana acheni mambo ya salary thing serikali ITAPUNGUZA KASI YA KUAJIRI KWA KUFIKIRI HAKUNA WAZALENDO. Hebu Tuachane na hizo tabia sijui ofisi gani wanalipa hivi hii wanalipa hivi
Alafu Kibaya zaidi mnatag Hadi majina ya ofisi WAKATI ni ofisi za serikali hizi

MTAFANYA SERIKALI IWAOGOPE SASA KUWA VIJANA WA SASA NI ASALI NONO, HUNA ASALI NONO,HUNA MTU

KAMA TUNAVOPONGEZANA HAPA"UKAWE MTUMISHI MWEMA,BASI IWE HIVYO,KILA MTU AWAZE NAMNA YA KUISAIDIA TAASISI IFANYE VIZURI ZAIDI KWANZA MENGINE YANAFATA

SIO KWA UBAYA
 
🙏
 
Sijui kama na wenzangu mmenoti ila upande wa adverts naona wameakaa kimwa kimya kwa mbaliii zikija ni post za managerial na zile za halmashauri ila post za officers naona hawaiti.sijui kuna nini kinatengenezwa.
Sasa si mambo ya utawala mzee unataka ajira kila siku ziwe zinatoka tu
 
Back
Top Bottom