Mwaisa1202
JF-Expert Member
- Sep 30, 2018
- 491
- 1,093
Nadhan wamepimwa kwa kutoa namba ambayo ndio muhimu kwa kuanzia , maana sehemu nyingi ukiwa na namba tu unapata huduma, ila wangeangalia kigezo cha vitambulisho, wangeshika namba ya mwisho au ya 3 toka chini [emoji3][emoji3][emoji3]. Ila kiukweli kwenye swala la kutoa namba tu wako fastaTena wa 3 kwenye category yao after TCRA na TPA. imagine waliobaki [emoji3]
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app