Mpaka kufikia saa10 jioni kitaeleweka, tuendelee kuomba dua jobless ili PSRS waendelee na majukumu yao kama kawaida na waongezewe nguvu kaziKumekucha wadau kulingana na ile clip ya Mchechu Leo ndio Tarehe 19. Mama anatoa muelekeo Kuhusu Taasisi,Dua zetu PSRS iboreshwe tu sio kunyanganywa mchakato.