Tuwape maua yao au unasemaje ndg yang[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tena wa 3 kwenye category yao after TCRA na TPA. imagine waliobaki [emoji3]
Tuwape maua yao au unasemaje ndg yang[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tena wa 3 kwenye category yao after TCRA na TPA. imagine waliobaki [emoji3]
[emoji3] sawa sawaTuwape maua yao au unasemaje ndg yang[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii nmeiona pia somewhere sikuizingatia kumb iko seriou. AiseUko halmashauri nako Hali si Hali nasikia kuna harufu ya vibali vya biashara vyote vikatwe na brela
[emoji846][emoji846]Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amefungua Kikao Kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma Jijini Arusha leo August 19,2023 ambapo amewataka Watendaji watekeleze majukumu yao kwa ufanisi na wasimlazimishe kupanguapangua.
“Katika kuhakikisha Mashirika yetu yanajiendesha kwa tija na kupunguza gharama za uendeshaji kutoka Serikalini ni muhimu Ofisi ya Msajili wa Hazina isimamie sheria na kanuni zilizopo ikiwemo utekelezaji wa mikataba na utendaji kazi, tupate taarifa sahihi kwa wakati pale Vyombo vya Usimamizi wa Bodi na Mabaraza na Watendaji wakuu wakishindwa kutimiza vigezo mlivyokubaliana ili hatua stahiki zichukuliwe”
“Siku za karibuni nimewaapisha Wakuu wa Mashirika na nimewaambia nakukabidhi Shirika likifa kufa nalo na hilo sitanii Ma-CEO na Wenyeviti wa Bodi hatutanii, Serikali imeshatoa fedha nyingi hatuoni tija saa ni kuwekeana target za kuzalisha faida ambazo ukishindwa, kufa na Shirika lako”
“Kuna Mashirika hayachangii chochote Serikalini kutokana na hali ya Mashirika hayo, mageuzi tunayofanya ni lazima, ili Mashirika yajiendeshe na Serikali ipate msukumo”
“Wakati tulipolazimishwa kila Shirika litoe gawio, Ma-CEO na Bodi walikuwa kwenye wakati mgumu wanaamua kwenda kukopa watoe gawio, nikasema hapana wanaozalisha faida ndio watoe gawio sasa baada ya maboresho tunayokwenda kufanya kila CEO na Bodi zikajitafakari”
“Nataka kuona Taasisi zikichangia kutokana na kipato wanachozalisha kwa kutekeleza majukumu yao na sio kwenda kukopa ili kuchangia mfuko mkuu na hapa wale wanaohisi wataweza kwenda na safari hii basi wabadilike lakini wanaohisi kwamba mmh kwa haya mambo yanavyokwenda Mimi siwezi mlango wangu upo wazi njoo uninong’oneze Mama kwa haya mambo yanavyoweza nitafutie pengine huku siwezi”
“Kwahiyo tutapanguana tu na msiende kunilazimisha Mimi kupangua kwasababu sio jambo ninalolipenda, pangua pangua sio jambo ninalolipenda na mkiona nimepangua imenibidi kufanya hivyo”
Wewe uliesikia vizuri elezea kile ulichokisikia
Dah kwa jobless izo taasisi nikuomba Tu Mungu miujiza itokee tulambe asali umo, kwa maana iyo PSRS tutegemee za halmashauri Tu.View attachment 2721683
Haya nipe audio yako na wewe
Database Inabidi imalize kutema, Maana huko mbele ni MASHAKA matupu....kuomba Mungu sana kila kitu kiende sawa wakati huu wanajadiliana, wakifikia kwenye maazimio aseeh!Dah kwa jobless izo taasisi nikuomba Tu Mungu miujiza itokee tulambe asali umo, kwa maana iyo PSRS tutegemee za halmashauri Tu.
Duuh ! Mbona kisanga mzee ?View attachment 2721683
Haya nipe audio yako na wewe
Ukiambiwa 100% Mzee ni KILA KITU.So mchakato wa ajira utakuwa chini ya hizo taasisi asilimia 100 ? Bado au wataendelea kutegemea utumishi ?
Ukweli ni kwamba DODOMA wengi walikua wanaenda WAMBA TU, Daddy I want that walikua hawaendi...wanawatafutia PRIVATE Kwa kampuni za WASHKAJ zao.Hawa wahuni wa Taasisi kama wamepewa mandate ya kuajiri wao aisee ,jobless na graduates cha moto watakipata , vi memo vinarudi kwa kasi ya kufa mtu aisee , TRA na Tanroads ni case study ya hili
Hawa wahuni wa Taasisi kama wamepewa mandate ya kuajiri wao aisee ,jobless na graduates cha moto watakipata , vi memo vinarudi kwa kasi ya kufa mtu aisee , TRA na Tanroads ni case study ya hili
Mtu anakutana na Nyomi pale CBSL au CIVE...anampigia simu "Mom I can't stay here anymore, I'm totally tired, I just wanna go back to the hotel" 😅😅😅😅😅Hawa wahuni wa Taasisi kama wamepewa mandate ya kuajiri wao aisee ,jobless na graduates cha moto watakipata , vi memo vinarudi kwa kasi ya kufa mtu aisee , TRA na Tanroads ni case study ya hili
Hahaaaaa wa ,maanina walikuwa wanakimbia mikando au sio ?Mtu anakutana na Nyomi pale CBSL au CIVE...anampigia simu "Mom I can't stay here anymore, I'm totally tired, I just wanna go back to the hotel" 😅😅😅😅😅
Mungu atutetee kwa kwel...Data base wasafishe yoteDatabase Inabidi imalize kutema, Maana huko mbele ni MASHAKA matupu....kuomba Mungu sana kila kitu kiende sawa wakati huu wanajadiliana, wakifikia kwenye maazimio aseeh!