Mr Spider
JF-Expert Member
- Feb 28, 2020
- 2,003
- 3,613
[emoji23][emoji23][emoji23]...hatari na nusuUko halmashauri nako Hali si Hali nasikia kuna harufu ya vibali vya biashara vyote vikatwe na brela
[emoji23][emoji23][emoji23]...hatari na nusuUko halmashauri nako Hali si Hali nasikia kuna harufu ya vibali vya biashara vyote vikatwe na brela
[emoji1][emoji1][emoji1]...IT aingie kwenye MAKABATI...akikuta PLACEMENT yeye anaipandisha tuu...no Kuuliza... Tutamlinda...
😃😃daah hili tatizoMatangazo ya kazi yanazidi kusitishwa huko walianza na TPB, leo wamesitisha kazi za wizara ya mambo ya nje, ko tukae kwa kutulia.
Eeh, nini😳😳 inamaana ndo utekelezwaji ushaanzaMatangazo ya kazi yanazidi kusitishwa huko walianza na TPB, leo wamesitisha kazi za wizara ya mambo ya nje, ko tukae kwa kutulia.
umeona huu mkeka ndugu yangu ni civil tu ndo wanatamba 🤣 🤣🤣🤣Mtoto wa masikini kwa sasa itabidi azunguke website za taasisi 28 ili kuagalia nafasi za kazi bundle lenyewe la buku
KabisaIT aingie kwenye MAKABATI...akikuta PLACEMENT yeye anaipandisha tuu...no Kuuliza... Tutamlinda...
Noma mkuuumeona huu mkeka ndugu yangu ni civil tu ndo wanatamba [emoji1787] [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
shidaahhNoma mkuu
[emoji25][emoji25]Inauma...Wangesafisha hata database ya TRA kama walivyofanya wengine!!!!Eeh, nini[emoji15][emoji15] inamaana ndo utekelezwaji ushaanza
[emoji25][emoji25]Inauma...Wangesafisha hata database ya TRA kama walivyofanya wengine!!!!
Tunapopita Mungu atuteteee......
Operation SAFISHA DATABASE inaendelea, ila TRA watakubali kweli kupewa WAMBA wa CIVE na CBSL kweli? Au ndo watawawekea nafasi wale "Mom please talk to your brother bhana cheti nimeshachukua CHUO jana"😅😅😅😅😅[emoji25][emoji25]Inauma...Wangesafisha hata database ya TRA kama walivyofanya wengine!!!!
Tunapopita Mungu atuteteee......
Lile la wizara ya mambo ya ndani wanachukua data base maana mwezi wa 6 walifanyisha usaili katika kada hiyoMatangazo ya kazi yanazidi kusitishwa huko walianza na TPB, leo wamesitisha kazi za wizara ya mambo ya nje, ko tukae kwa kutulia.
Hao""Mom please talk to your brother bhana cheti nimeshachukua CHUO jana"[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] "wameshapewa njia kuingiza watoto wao Jana cha msingi Na Sisi watoto wa maskini tulipata nauli kwa kuungaunga kwa neema ya Mungu tumefika hatua ile PSRS wasafishe database Tumain la mama(Rais)kwa vijana liwepo...Operation SAFISHA DATABASE inaendelea, ila TRA watakubali kweli kupewa WAMBA wa CIVE na CBSL kweli? Au ndo watawawekea nafasi wale "Mom please talk to your brother bhana cheti nimeshachukua CHUO jana"[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mom please Talk to your brotherr[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Operation SAFISHA DATABASE inaendelea, ila TRA watakubali kweli kupewa WAMBA wa CIVE na CBSL kweli? Au ndo watawawekea nafasi wale "Mom please talk to your brother bhana cheti nimeshachukua CHUO jana"[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hongera sana mkuu, kila la kheri kwenye majukumu yako mapyaUshuhuda.
Kipitia Mkeka Wa Jana Nashukuru Mungu Nimelamba Asali.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Msikute Makofia ndio kawa IT wa utumishi[emoji23]