HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Aysee sipati picha raha wanayoipata wale wanaoona majina yao kwenye pdf.
Maana leo nimeona jina la mwanangu kala shavu tume ya madini nimejikuta naenjoy na furaha nyingi kama mimi vile.
Hongereni sana jobless mnaolamba asali. Kupata ulichopambania kina raha yake. Na ukiona tabu na ugumu unazidi ujue ndo unaelekea kutoboa tuendelee kuhamasishana kuwa subira wataalamu. Usiku mwemaa wakuu.
 
wawakumbuke na waandisi hasa wa electrical na mechanical na nyinginezo sio kila siku civil tu alafu jina 1 au 2😕
Y
wawakumbuke na waandisi hasa wa electrical na mechanical na nyinginezo sio kila siku civil tu alafu jina 1 au 2😕
Yah ! Kweli mkuu ,hivi na wewe ni mhandisi nini ? Aisee mimi ni Electrical guy pia , naona hawa MDA and LGA wanadonoa tu hasa hizi fani mzee , ukizingatia utumishi wamekaa muda mrefu sana hawajatoa nafasi za kazi za kutosha hasa hizo kada za kihandisi , I don't know what's wrong , mpaka sasa wametoa majina 3 tu ,ngoja tuone .
Waongeze kasi aisee ,Civil engineers naona atleast wao kila mkeka wapo aisee .Kuna na mkeka ulitoka mwanzoni kwa mwaka huu civil engineers walichukuliwa kama 60+, wao pamoja na agricultural engineers , ila kwa Electrical and mechanical guys ,it's trouble .
Waongeze kasi watoe hayo majina na watangaze nafasi mpya kama kuna uhitaji bado katika taasisi nyingine ,naamini taasisi bado zipo nyingi zenye uhitaji wa mechanical and electrical engineers ,mfano TANESCO ,TBS, mamlaka za maji nk hizi taasisi muda mrefu wapo kimya hawajaajiri
 
Kumekucha wadau kulingana na ile clip ya Mchechu Leo ndio Tarehe 19. Mama anatoa muelekeo Kuhusu Taasisi,Dua zetu PSRS iboreshwe tu sio kunyanganywa mchakato.
 

Attachments

  • Screenshot_20230819-060228.jpg
    Screenshot_20230819-060228.jpg
    56.8 KB · Views: 6
  • Screenshot_20230819-074608.jpg
    Screenshot_20230819-074608.jpg
    69.8 KB · Views: 5
Back
Top Bottom