Wansakieki
Senior Member
- Mar 23, 2023
- 182
- 656
Nimukuelewa mkuu, maana nilikua naona mapicha picha tu nilichelewa kidogo. Nadhani uko sahihi kwa nilivyoona na mmNilichokielewa hapa ni kwamba hiki ni kikao kazi, Mh Rais kaalikwa kukifungua tu na kukibariki, baada ya hapo watendaji wakuu na watu wengine wa taasisi za umma watayajadili wanayoona kwaio ni sahihi harafu watampelekea Rais kuyabariki, kwaio hili jambo la kusema taasisi zote waajiri wenyewe ni bado sana