Hizo shortlisted zipo na selected for null zipo na selected for oral zote zina maana yake ππππ Bora zitokee hizo lakini ukiona maandishi mekundu Yale not selected na oral ilifanya ujue hapo baba jeni bye byeπππππππ Sasa Iv naona kama zimebadilika zaidi, toka shortlisted na selected for null kipindi Uzi huu ni wamoto mjadala wa status ππ Baba Jane bye bye sasa IV status mjadala umekuwa not selected for oral Vs selected for oralπππ