captain sparrow
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 958
- 2,079
Hongera sana mkuu, ukawe mtumishi mwema na mchapa kaziHatimae jana nmelala jobless,ila nmeamka nmejikuta mtumishi,database inafanya kazi,nlifanikiwa kuingia oral 3,ya kwanza nlikutana na ndoige,nkabahatika tena kufanya oral mbili za mda na lga,ila leo nmekuta nmepata taasisi nlofanya interview mara ya kwanza,kupitia database.
Tusikate tamaa,wakati wa Mungu ni sahihi
Status: Selected for oral web na app