HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
IT leo bila shaka ulikuwa nanenane.

kesho asubaaa Fanya ushushe pdf la kimataifa shuhuda zijae kwenye huu uzi. Umri unaenda tunataka tustaafu ujobless kama wewe ayseee.

Fanya yako mapemaaaaaaaaaa mida ya saa nne, tano au sita fulani hivi watu washuhudie stelingi anavyokamilisha movie kali kwa kulamba asali. STELINGI HAUWAWIII.

💥💥💥💥💥
IT WA SASA MTU WETU, MZUNGU SANA. 💪💪💪😄😄😄
 
Dah hatimae na mie nimelamba asali, baada ya mkeka wa Kaimu Katibu kucheka

usaili nilifanya mwezi wa Kwanza mwaka huu (2023) nikasahau na kusahau maana nilijua ndio basi tena sababu katika taasisi niliyoomba ina kamfumo flani hivi ka wenyewe kwa wenyewe kupeana michongo ila sasa ona jinsi Mungu alivyo mkuu mkeka umetoka nami nimo

Ile Napeleka barua, ofisi nzima wananiangalia na kuniuliza maswali ya uongo na ukweli, nikasema Mungu katenda miujiza sifa na shukrani zimrejee yeye, maana katika waliopenya ni wawili tu ndio hatukuwa kwenye ofisi hiyo

Wengine wote waliobakia ama walikuwa wanajitolea au walikuwa wana mikataba hapo hapo taasisini kwa muda mrefu tu

Acheni Mungu aitwe Mungu akiamua jambo hakuna wa kuzuia litatimia tu kwa wakati wake.

Background: niliomba mara saba nafasi mbali mbali za ajira portal kwenye taasisi mbalimbali ikiwemo MDA na LGA,

moja sikwenda kwa sababu ya kukosa nauli, mbili nilinasa kwenye written, mbili nilifika oral na ndio moja nimeitwa, na mbili bado pending kwenye mfumo nasubiri kuitwa kwa ajili ya usaili ila ndio hivyo tena mkeka ushatiki😁

Na mpaka kufanikisha Dodoma nimeenda mara 4 na simjui hata sekretari wa utumishi, ni Mungu tu kunipigania na maombi kama yote

Tusikate tamaa friends, tuendelee kupambana.
Big Up
 
Jobless mkipata kazi kumbukeni kufanya saving Kwa ajiri ya uwekezaji badae sio ukipata mshahara unatumia unaisha, Epuka pombe na bia zitakumalizia Hela pia muombe mungu akulinde peke Yako huwezi.

Msiogope kupangiwa nje na town huwa naona humu mnaponda sana nakaa kimya hamjui kitu maisha ya mjini ni gharama sana kuliko huko mnakokuponda mfano Kuna WILAYA hazipo mjini ila Zina huduma zote, mfano maji,umeme, mtandao, hospital, na gharama za maisha zipo chini kiasi mfano nyumba Zima yenye vyumba 3 kimoja master, na jiko + public toilet full tiles na umeme na kila kitu Kodi na laki tu Kwa mwezi hiyo nyumba Kwa Dar utalipa laki hata 5 wazeee, nyumba yenye vyumba viwili inakua kama 75k tu, chumba(self) na sebule 30 Kwa Dar ungelipa 150k

Upande wa vyakula asili kama kuku unapata Kwa 10k tu na nyanya za buku zinaweza zikakuozea ndani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nawashauli msichague mjini tu hakuna ishu huko Zaid ya club na kumbi za starehe hamtaweza kusave Hela na kununua gari pila mkopo

Mtunze afya pia hakuna Raha ya Hela ikiwa unaumwa

Cha mwisho naomba mnishauri gari la kununua[emoji1787][emoji1787]( natania hapa Sina Hela)
Acha kuisema vibaya beer mkuu bia 6 ni 10,000 sio gharama sana na sio kila siku, ila maisha ya kuiga ndio gharama na yanawacost vijana kutafuta bebez ya nguvu na kuishi nyumba ya kishua, pamba kila mwezi mpya, n.k

Binafsi sijawahi kuishiwa hela sababu ya beer.
 
Jobless mkipata kazi kumbukeni kufanya saving Kwa ajiri ya uwekezaji badae sio ukipata mshahara unatumia unaisha, Epuka pombe na bia zitakumalizia Hela pia muombe mungu akulinde peke Yako huwezi.

Msiogope kupangiwa nje na town huwa naona humu mnaponda sana nakaa kimya hamjui kitu maisha ya mjini ni gharama sana kuliko huko mnakokuponda mfano Kuna WILAYA hazipo mjini ila Zina huduma zote, mfano maji,umeme, mtandao, hospital, na gharama za maisha zipo chini kiasi mfano nyumba Zima yenye vyumba 3 kimoja master, na jiko + public toilet full tiles na umeme na kila kitu Kodi na laki tu Kwa mwezi hiyo nyumba Kwa Dar utalipa laki hata 5 wazeee, nyumba yenye vyumba viwili inakua kama 75k tu, chumba(self) na sebule 30 Kwa Dar ungelipa 150k

Upande wa vyakula asili kama kuku unapata Kwa 10k tu na nyanya za buku zinaweza zikakuozea ndani 🤣🤣🤣

Nawashauli msichague mjini tu hakuna ishu huko Zaid ya club na kumbi za starehe hamtaweza kusave Hela na kununua gari pila mkopo

Mtunze afya pia hakuna Raha ya Hela ikiwa unaumwa

Cha mwisho naomba mnishauri gari la kununua🤣🤣( natania hapa Sina Hela)
Umetisha meck pro, umerudi kwa kishindo kutupa nasaha mbili tatu, usiishie Leo tu endelea kututia moyo.
 
IT leo bila shaka ulikuwa nanenane.

kesho asubaaa Fanya ushushe pdf la kimataifa shuhuda zijae kwenye huu uzi. Umri unaenda tunataka tustaafu ujobless kama wewe ayseee.

Fanya yako mapemaaaaaaaaaa mida ya saa nne, tano au sita fulani hivi watu washuhudie stelingi anavyokamilisha movie kali kwa kulamba asali. STELINGI HAUWAWIII.

💥💥💥💥💥
IT WA SASA MTU WETU, MZUNGU SANA. 💪💪💪😄😄😄
IT anasoma comments anasema kumbe vijana wananikubali hivi, anafanya yake. Una baya IT wetu naamini umetoka kwenye kundi hili hili la ujobless na shida zetu wazijua.
 
Habari za muda huu! Samahani kama kuna mtu anamfahamu MIKIDADI ABDALAH HAMIDU kamaliza mwaka 2021 SAUT amesomea Marketing , Vyeti vyake vimeokotwa kuanzia cha Form 4, 6 na cha Chuo. Awasiliane na mm kwa namba 0769760041. Saidia kusambaza ujumbe huu ili tumsaidie huyu ndugu yetu aweze kupata Vyeti vyake .🙏🏿
 
Back
Top Bottom