HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
IT leo bila shaka ulikuwa nanenane.

kesho asubaaa Fanya ushushe pdf la kimataifa shuhuda zijae kwenye huu uzi. Umri unaenda tunataka tustaafu ujobless kama wewe ayseee.

Fanya yako mapemaaaaaaaaaa mida ya saa nne, tano au sita fulani hivi watu washuhudie stelingi anavyokamilisha movie kali kwa kulamba asali. STELINGI HAUWAWIII.

💥💥💥💥💥
IT WA SASA MTU WETU, MZUNGU SANA. 💪💪💪😄😄😄
IT edit hiyo pdf ikae mkaoo tunaisubiriiii saa 4 imefikaaa! 💥💥💥💥💥💥💥
💪💪💪 IT ni mtu wetuu
 
Dah hatimae na mie nimelamba asali, baada ya mkeka wa Kaimu Katibu kucheka

usaili nilifanya mwezi wa Kwanza mwaka huu (2023) nikasahau na kusahau maana nilijua ndio basi tena sababu katika taasisi niliyoomba ina kamfumo flani hivi ka wenyewe kwa wenyewe kupeana michongo ila sasa ona jinsi Mungu alivyo mkuu mkeka umetoka nami nimo

Ile Napeleka barua, ofisi nzima wananiangalia na kuniuliza maswali ya uongo na ukweli, nikasema Mungu katenda miujiza sifa na shukrani zimrejee yeye, maana katika waliopenya ni wawili tu ndio hatukuwa kwenye ofisi hiyo

Wengine wote waliobakia ama walikuwa wanajitolea au walikuwa wana mikataba hapo hapo taasisini kwa muda mrefu tu

Acheni Mungu aitwe Mungu akiamua jambo hakuna wa kuzuia litatimia tu kwa wakati wake.

Background: niliomba mara saba nafasi mbali mbali za ajira portal kwenye taasisi mbalimbali ikiwemo MDA na LGA,

moja sikwenda kwa sababu ya kukosa nauli, mbili nilinasa kwenye written, mbili nilifika oral na ndio moja nimeitwa, na mbili bado pending kwenye mfumo nasubiri kuitwa kwa ajili ya usaili ila ndio hivyo tena mkeka ushatiki[emoji16]

Na mpaka kufanikisha Dodoma nimeenda mara 4 na simjui hata sekretari wa utumishi, ni Mungu tu kunipigania na maombi kama yote

Tusikate tamaa friends, tuendelee kupambana.
Hiyo barua uliyopeleka ni Ile ya Utuumishi eti? Hongera sana Mwanangu Mungu Akusimmamie.
 
sipati picha mkeka utakaoshuka.sio kwa kimya hiki 🤣 🤣
Nasikia IT kagoma huko kutoa vi pdf vya page mbili anataka akiachia kitu kiwe kitu kwelikwel😄😄😄
IT huwa anashinda dakika za majeruhii 😄😄😄ngoja tuone leo.

Akizingua dirisha dogo tunamtema😂😂😂.
 
Back
Top Bottom