HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Niliwahi kusema hivi nikaambiwa nina wenge nisubiri wengine waliosubiria sana wapate kwanza😁😁😁
😂😂😂 watu bana
DUCE waliofanya January 30, nao watasemaje mkuu?
Duce ni duce na wa mwezi wa sita ni wa mwezi wa sita. Kama wao hawana usemi ni wao. Mbona wa mwezi wa tano wametolewa na duce bado! So wa mwezi wa sita pia ni watu na wana hisia pia na kukwaishwa mda mrefu wa miezi miwili.
 
Back
Top Bottom