Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

😆😆 eti asali nzito.

Mkuu nina wakuu wapo pael wana njaa tu kama halmashauri.
Nani kakuambia halmashauri kuna njaa? Inategemea uko idara gani!! Idara nyingi za halmashauri huwa zina miradi sana na huko safari na posho zipo kibao!! Kwa mfano muda huu vijana wengi (kuna wengine nawafahamu personally) huko wapo kwenye maonesho ya nanenane morogoro wanakula per diem ya manispaa 150,000/= per day!! Idara kama mifugo, kilimo, uvuvi, nyuki, misitu siyo wenzio hao!! kuna projects kibao!!
 
Watu walishakaririshwa kwamba mashirika ya serikali kuna mpunga mwingi pale, haya na atwambie SIDO pale kuna kipi cha maana?

Angalau useme mashirika haya makubwa kama tpdc, tanroads, tpa, ewura n.k

Asikaririshwe kwamba kila halmashauri ndio njaa inategemea na pia asikariri kuwa kila shirika la serikali kuna bwiwi la asali.

Kitu kikacho kita determine uishi vzur ni perdiem na safari za kutosha na wala sio mshahara.

Nliwahi kuajiriwa mahala flani katika kazi ya tempo nikawa nalipwa 1.65M wakati sijaanza kazi na ku sign mkataba nliiona nyingi sana hiyo, nilivyoanza kazi wala haikuwa nyingi kwa sababu nlikuwa sipati posho ni mshahara tu na ukizingatia familia zetu hizi shida sizizoisha.
 
Back
Top Bottom