PSRS wekeni mikeka iliyokaa muda mrefuu. 😒😒😒.Kuna mkeka uko, sijui mwezi wa sita wametusahau.
Mzinga ndo Shirika gani tenaWatu wamekula lunch wakiwa jobless,mara ghafla,saiv ni watumishi wa umma[emoji1787][emoji1787][emoji1787],,,hongera kwa walopata
Jeshini nadhani jwtzMzinga ndo Shirika gani tena
Mwez wa 6 ulifanya kada gn mzeeKuna mkeka uko, sijui mwezi wa sita wametusahau.
Ni shirika la kijeshi ambalo ndani yake Kuna kambi ya kijeshi na wafanyakazi wa kiraia,wanajihusisha na kuendesha miradi mbalimbali,lipo morogoro,KM 7 kutoka SUAMzinga ndo Shirika gani tena
Niliwahi kusema hivi nikaambiwa nina wenge nisubiri wengine waliosubiria sana wapate kwanza😁😁😁Kuna mkeka uko, sijui mwezi wa sita wametusahau.
😂😂😂😂😂 na wewe ukakubar???Niliwahi kusema hivi nikaambiwa nina wenge nisubiri wengine waliosubiria sana wapate kwanza😁😁😁
DUCE waliofanya January 30, nao watasemaje mkuu?Kuna mkeka uko, sijui mwezi wa sita wametusahau.
Hao Ni DUCE ko unataka wote tuwe ivo?DUCE waliofanya January 30, nao watasemaje mkuu?
Huto tupdf twa watu 13 dah safari bado ndefu sanaaWeekend imeanza jana...... Ni mtazamo tu. pdf ni kila weekend lazma lianguke
tunajikaza tu lkn ukitizama vizuri inaboa sanaaaHuto tupdf twa watu 13 dah safari bado ndefu sanaa