HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Cycle yangu wote wapo serikalini.

Jana wawili wameondoka.

Hakuna kitu kinauma unapambana na mtu mwisho wa siku wenzako wanatangulia wewe unabaki.

Ila mwisho wa siku ,unaelewa mafanikio yako mikononi mwa Mungu kuna siku ninaweza kuamka ikawa yangu tu.

Tuendelee kuomba tu
Mafanikio hayafanani kaka kuna wengune yanakuja kwa kuchelewa, wengine kuwahi... yote kwa yote wakati wa Mungu ndio sahihi
 
Bado ata mmoja oral tulifanya 19/6/2023
Mkuu.
Anhaa ok kumbe tupo pamoja tunasubiria placement za mwezi wa sita 12-19.
Naamini kuanzia mwezi huu wa8 nakuendelea ndio mwezi wetu tuzidishe maombi tu.
Swala la status halina uhusiano wowote na kupata ajira kwaio lisikuchanganye.
 
Tuzidi kusali na kuamini kuwa mungu Ni muweza wa yote, tuombee tuvuke hili daraja.
 
Back
Top Bottom