HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Nimeipitia apps ya Ajira portal kwa baadhi ya information zangu Zipo tofauti na nilivyojaza kweny website ya Ajira portal, nikarekebisha kweny apps, kurudi kweny website taarifa zimefutika, nikarekebisha tena kweny website kweny apps zikawa tofauti, je hii haiwezi ikaathiri baadhi ya maombi niliyotuma?
Kwa nini unahangaika na App, achana nayo . Fix issues kwa kutumia web then tulia na kuendelea kufuatilia mambo kupitia web
 
Back
Top Bottom