Mwanamaji
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,906
- 4,531
Mkuu wala hata usishangae sana.Kabisa muhimu ni placement zitoke mapema kama hizi za watu wa mwezi wa 5 zilivyowahi
Sasa badala watu wasupport kuwahi kwa placement naonekana tena nina wenge,mara sijui kwa vile mimi ni fresher aisee watu wa hii nchi tuna kazi kweli kweli 😂😂😂🙌
Watanzania sisi tuna kawaida ya kushindana kuteseka.
Naona wadau hapo wanaonyesha kwamba wewe hauna haki ya kudai Placements kwa haraka kwa sababu wewe "haujateseka sana" kama waliokutangulia kufanya interviews.
Unajiuliza hivi lengo la mtu kama huyu ni nini haswa ?