Hahaaaaa๐๐๐๐๐๐,Jamii forum kwenye huu uzi panachekesha sana , stress lazima zipungue ๐๐๐๐๐Ishindwe For Jesus Name
Hahaaaaa๐๐๐๐๐๐,Jamii forum kwenye huu uzi panachekesha sana , stress lazima zipungue ๐๐๐๐๐Ishindwe For Jesus Name
Hawezi elewa huyu akipata kazi ataelewa imagine uombe kazi tra afu upelekwe kigoma kutokea kanzidata tena halmashauriOmba sana Mungu isitokee ukapelekwa sehemu mbovu, in the long run unaweza Juta kwa nini ulipata hio kazi.... Ukiwa huna kazi utaona hii kauli ya ajabu sana ila anza kazi uone.
Sent using Jamii Forums mobile app
๐๐๐๐๐Hahaaaaa๐๐๐๐๐๐,Jamii forum kwenye huu uzi panachekesha sana , stress lazima zipungue ๐๐๐๐๐
unaweza kuwaomba psrs wakurudishe kanzidata alafu nafasi wampe mtu mwingine๐๐๐๐๐. Huku unawaambia sina shida miminitavumilia tuuu๐๐๐Hawezi elewa huyu akipata kazi ataelewa imagine uombe kazi tra afu upelekwe kigoma kutokea kanzidata tena halmashauri
Hahah ujue sa hivi kuna kizazi kingine ndo maana unaona mada kama hizi zinarudi malegend wengi washajiweka kandoMjadala wa status unakuwaga mrefu sana, tuchangamshe mada
Na kwenye app wanaandikiwaje?Kuna watu wamefanya oral tu, hawakuwa na written..kwny web lazima waandikiwe SHORTLISTED.
Watu wengine wanakua na kazi private au serikalini kwa mkataba akajipima akaona hakuna kinachoongezeka lazima uone kawaida labda kuitafuta job securityNi kweli, lkn hiyo sehemu mbovu (Taasisi) ni bora kuliko kukosa kabisa.
Kigoma mbona pazurii tu japokua mimi sio wa Kigoma ila nimefanya kazi huko.Hawezi elewa huyu akipata kazi ataelewa imagine uombe kazi tra afu upelekwe kigoma kutokea kanzidata tena halmashauri
HahahahaHahaaaaa๐๐๐๐๐๐,Jamii forum kwenye huu uzi panachekesha sana , stress lazima zipungue ๐๐๐๐๐
Kumekucha tena na mada za status ๐๐Wale wazee wa STATUS picha ya kwanza ni from APP na ya pili ni from browser na tarehe 22 mkeka ulitoka na nimekula Left ndoige so mtajiongeza wenyeweView attachment 2700060View attachment 2700062
Wale wazee wa STATUS picha ya kwanza ni from APP na ya pili ni from browser na tarehe 22 mkeka ulitoka na nimekula Left ndoige so mtajiongeza wenyeweView attachment 2700060View attachment 2700062
Ok pole Sana mkuu, Apo Ni kujipanga upyaWale wazee wa STATUS picha ya kwanza ni from APP na ya pili ni from browser na tarehe 22 mkeka ulitoka na nimekula Left ndoige so mtajiongeza wenyeweView attachment 2700060View attachment 2700062
Pamoja kiongoziOk pole Sana mkuu, Apo Ni kujipanga upya
Hizi status zitatuuwaPamoja kiongozi
Wale wazee wa STATUS picha ya kwanza ni from APP na ya pili ni from browser na tarehe 22 mkeka ulitoka na nimekula Left ndoige so mtajiongeza wenyeweView attachment 2700060View attachment 2700062
Iyo not selected uoneshe namba sawa na iyo selected tutaamini ayo mamboWale wazee wa STATUS picha ya kwanza ni from APP na ya pili ni from browser na tarehe 22 mkeka ulitoka na nimekula Left ndoige so mtajiongeza wenyeweView attachment 2700060View attachment 2700062
Wewe kwani unatumia app gani?app ya psrs ukiwekewa not seletecte haioneshi namba mzeeIyo not selected uoneshe namba sawa na iyo selected tutaamini ayo mambo