HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mfano halisi ni mimi na mshkaji wangu. Tena Mimi nilitangulia kuajiriwa halmashauri yeye alifatia miaka 3 baadae, TBS. Sasa hivi hela yake ya mafuta ya gari kwa mwezi ndio takehome yangu
Tbs pako vzr sn..wana mishahara 2 pale..HAZINA NA WENYEWE..Na sijui kwanini hawaajiri maana wanasema hawajapewa kibari cha kuajiri[emoji57]
 
Huu mjadala wa status naufuatilia huku nikiniwa nakunywa maji mengi moyo uelee
Appp.jpg
 
Back
Top Bottom