HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Sina uhakika wa status kubadilika kuwa kuna mahusiano na kupata placement au kutopata, ila pia kinachosemwa huenda kikawa kweli.

Ila swala ya kupata placement inategemea na fani uliyosoma imagine mtu umesoma telecommunication au petroleum ajira zake mbinde sana kutoka zaidi ya miaka miwili zinatoka mara moja.

So database ya mtu huyu ku expire na kutopata placement ni jambo la kawaida tu.
Fani nyingine ajira zake ni kwikwi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Niliedit barua yangu mara 5, nilikuwa nabadili Tarehe na Jina la Mwajiri, pamoja na sentensi muhimu zenye maudhui ya kazi husika.

Nilikuwaga na Version ya barua kwenye MS Word ambayo ndio ilikuwa engine,

Nilikuwa nikifanya mchezo wa hatari, nilikuwa nikiweka alarm tarehe ya deadline. Ikiita ndio na edit na ku upload barua [emoji23]
 
HIV naomba kuuliza kitu mfano mtu Alifanya usahili wa MDAs na LGAs,pia akafanya Tena usahili TANAPA,amepata placement ya kwanza ya MDAs kapangiwa wizarani,kaenda kuripot,kaanza kazi tyr kaanza kupokea mishahara km miezi 3 hivi,Mara ghafla taasisi nono mfano km TANAPA jina lake likatoka,hapa itakuwaje?anawepa kuacha wizaran akaenda TANAPA? inawezekana vipi wakati ameshapata mpk check namba?
 
Hii ndo ishakupita, labda kama kwenye hiyo taasisi unayotaka kwenda una connection akupambanie.
 
Back
Top Bottom