HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Na hapo ukute mtu ndo interview yake ya kwanza kila siku anakuwa anafikiria kwamba majibu yanatoka kesho kumbe asijue inachukua miezi na miezi 😂😂😂
Na hapo umwambie pia kuna database, alafu Mda huo anangojea tokeo linalachukua Zaid ya 6month😂😂😂😂 Dah jobless tunapitia wakat mgumu sana
 
Tunachopitia ukiendekeza kuwawaza PSRS unaweza ukakonda mpaka watu wakakushangaa kwamba unawaza placement ambazo haujui zitatoka lini😂😂😂😂

Ila wangekuwa wanaweka kwenye system zao ukimaliza oral kama inavyobadilika kutoka shortlisted for WRITTEN kwenda selected for ORAL interview ingekuwa wana update baada ya oral kwenda selected for PLACEMENT au selected for DATABASE ili mtu ujue uko wapi kuliko kutuacha hivi dilemma 🤔🤔🤔
 
Kesho kuna UKANDAJI MKUBWA mnoo...wapo kwenye VIKAO vya MWISHO-MWISHO...
Huku waliolamba asali wakiendelea kuchukua BARUA ZAO...kwa wingi....DODOMA imekuchaaa..
ukandaji gani tenaa??? vikao vya mwishomwisho???
tupe za ndani mkuu mbona unafunga sana maneno mtaalamu. Jobless tunahaja sana na taarifa hizo.
 
Kila la kheri wa community development officer kweny oral interview ya kesho, mjiamini, ondoeni hofu, hakikisha uko nondo, fuata maelekezo unatakayopewa ukiambiwa mention, we mention Tu, ukiambiwa explain, explain short and clear, vaa vizuri upendeze, kikubwa confidence, Jenga mazoea waangalie usoni, jiandae kisailolojia, alafu amini kwamba unaweza, mwenyezi Mungu awatangulie.
 
Pia wajue kuwa hiyo ni chance kwao wasiichezee kabisa. Wakijua hili watatekeleza yote uliyowaambia na mengine ambayo hujayataja lakini ya muhimu kwao.
 
Honest nilikuwa nime focus kwenye status maana wadau walitaka kuniua kwa presha umu

Ko akalicheki jina langu akaona liko fresh akasema subilia mkeka, kutokana na panelists walivyokujazia

Nikamdadavua kwa mbali kuhusu placement akasema inatokana na burget ya taasisi husika

Huyo jamaa yuko pisi Sana unaweza kumpigia akakupa majibu yote

Ila kuwa mvumilivu huwa anakuwa busy Sana na simu anapokea mara moja moja

Ni mtu safi Sana.
Mkuu jamaa alikupa moyo tu, ukweli ni kwamba wale ambao status zao zinasoma “SELECTED For Oral” baada ya Oral wengi ndo wanapata Placement. Wale ambao sinasoma “NOT SELECTED For Oral” hawajapata placement.

Ushahidi nilionao ni kwa jamaa zangu walopiga zile sail za LGA/MDA walokua na Selected for oral wamepata placement na wale ambao ni not selected hawajapata.

Hata humu ndani wengi wanaopata status zao both In App na web zinaonesha SELECTED For oral wamepata placement. Sijawai pata au kuona mtu humu ndani ambaye ana “Not selected for oral “
Amepata placement kama yupo ajitokeze.
 
Jamaa hawezi kukupa siri za ofisi ni kosa la jinai kutoa siri kama hzo ndomana wanaishia kukupa moyo tu, kama “NOT SELECTED For oral” usitegemee maajabu sana. Cha muhimu ni kuomba Mungu kama ridhiki ni yako utapata tu kwa wakati sahihi
 
Ivi kwan kuna watu baada ya oral interview status inasoma not selected for oral
 
Mkuu jamaa alikupa moyo tu, ukweli ni kwamba wale ambao status zao zinasoma “SELECTED For Oral” baada ya Oral wengi ndo wanapata Placement. Wale ambao sinasoma “NOT SELECTED For Oral” hawajapata placement.

Ushahidi nilionao ni kwa jamaa zangu walopiga zile sail za LGA/MDA walokua na Selected for oral wamepata placement na wale ambao ni not selected hawajapata.

Hata humu ndani wengi wanaopata status zao both In App na web zinaonesha SELECTED For oral wamepata placement. Sijawai pata au kuona mtu humu ndani ambaye ana “Not selected for oral “
Amepata placement kama yupo ajitokeze.
Ok
 
Back
Top Bottom