HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hii wiki ni ngumu chief..ofisini wanabaki watu wachache sana, Maybe next week....na nyingi zitakua CALL FOR INTERVIEW..
Wazee wa asali tuendelee kusali na kuamini zamu yetu inakuja....All the best..
Au ndio mambo ya "wakandaji wapya wanafanyiwa orientation, kwahiyo placement zitasubiri kwanza..."

Waswahili wanasema TAABU IKO PALEPALE
 
Tangia huu uzi umeanza nimesoma comment zote kuanzia ya Kwanza ya mwanzilishi wa huu uzi mpaka muda huu hii comment ninayoandika mimi sijawahi kuona mtu mwenye not selected kapata kazi kwa shuhuda zilizotoka humu so far , never
 
Jamani ili swala la status lina maana kubwa na pengine ndio tulizo la moyo kwa watu wengi humu ndani na kuzidisha maombi jina lake litokee. Sidhani kama kuna mtu status yake isomeke NOT SELECTED, then awe free kusubiria pdf. Cha zaidi kama mtu anajielewa vizuri atakaza tena upya angalie alipoteleza ili afanye vizuri Sauli zijazo. Wengi humu waliopata kazi wanasema kabisa App na Web inasomeka SELECTED FOR ORAL. Unadhan mwenye iyo status ya selected for oral anajiskiaje? zaidi ya faraja tu kuwa nayeye ipo siku atachomoka.
 
Kikubwa ni kuzidisha maombi na kuongeza receive popote kambi
 
Jamani ili swala la status lina maana kubwa na pengine ndio tulizo la moyo kwa watu wengi humu ndani na kuzidisha maombi jina lake litokee. Sidhani kama kuna mtu status yake isomeke NOT SELECTED, then awe free kusubiria pdf. Cha zaidi kama mtu anajielewa vizuri atakaza tena upya angalie alipoteleza ili afanye vizuri Sauli zijazo. Wengi humu waliopata kazi wanasema kabisa App na Web inasomeka SELECTED FOR ORAL. Unadhan mwenye iyo status ya selected for oral anajiskiaje? zaidi ya faraja tu kuwa nayeye ipo siku atachomoka.
Alafu kuwa selected for oral sio kupata kazi wangapi Wana selected for oral na kazi hawajapata ?
 
Hivi ni kwa nini huwa wanatoa majina nusu nusu kwa nini isingekuwa wakitoa placement za mwezi husika wanatoa majina ya wote waliofanya huo mwezi ili pdf ijayo waliofanya mwezi unaofuata wajiandae kusubiri huku wakijua kwamba wa mwezi wa nyuma walishaitwa wote waliofaulu[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Kaka issue si kutoa majina. Issue ni utayari wa taasisi inayo ajiri. kamaa taasisi imeshajipanga ipo tayari kuwapokea PDF linatoka chap
 
Mkuu pamoja na izo taasisi zenyew kuchelewesha kuajiri sababu ikiwa ni budget pia kuna shida ata upande wa psrs maana kuna wadau wamepigiwa simu direct wakaripoti na izo taasisi zenyew posipo ya placement.
 
kaka ipo hivi, kuna taasisi zinapata vibali vya kuajiri lakini hawana fedha ya kuendesha mchakato wa ajira. Taasisi hizo huwasilisha vibali hivyo secretariet ya ajira na watu wa psrs muda huohuo wanapiga simu watu waliopo kwenye database ambao walifanya interview mbalimbali walifaulu kwa asilimia 50 na zaidi lakini hawakupata nafasi ili wakaripoti kazini
 
Back
Top Bottom