HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Basi acha tuendelee kusubiri

Mm nawatia moyo endeleeni kupambana. Binafsi niliajiriwa kupitia mfumo huu na wala sikuwa namjua mtu, wala sikutoa chochote. Nilifanya interview mwezi 11 na nikaitwamwezi wa 3 what a wait [emoji2361]

Lakini pia taasisi niliyopo nimeshasimamia Saili zaidi ya 5 Psrs. Najua sana mambo huwa yanakwendaje.

All in all Utendaji wa haki ni zaidi ya 80% na 20% ni changamoto za kibinadamu.

hakikisha unafanya interview nyingi iwezekanavyo na hakikisha unaitwa Oral interview na unafanya. Utajiweka kwenye nafasi nzuri ya kupata kazi serikalini.
 
Alafu kuwa selected for oral sio kupata kazi wangapi Wana selected for oral na kazi hawajapata ?
Acha mambo ya hear say hapa, ni akina nani unaowajua wana selected for oral hawajapata ajira ? ,Halafu tuonyeshe huo ushuhuda hapa usituandikie upuuz wa jamaa yangu , jamaa yako who ?
Toa screenshot hapa
Usituone wajinga
 
Mm nawatia moyo endeleeni kupambana. Binafsi niliajiriwa kupitia mfumo huu na wala sikuwa namjua mtu, wala sikutoa chochote. Nilifanya interview mwezi 11 na nikaitwamwezi wa 3 what a wait [emoji2361]

Lakini pia taasisi niliyopo nimeshasimamia Saili zaidi ya 5 Psrs. Najua sana mambo huwa yanakwendaje.

All in all Utendaji wa haki ni zaidi ya 80% na 20% ni changamoto za kibinadamu.

hakikisha unafanya interview nyingi iwezekanavyo na hakikisha unaitwa Oral interview na unafanya. Utajiweka kwenye nafasi nzuri ya kupata kazi serikalini.
Ubarikiwe kwa kututia moyo.... wakati wa Mungu ndiyo wakati sahihi huwa hauchelewi wala hauwahi, Acha tujipe moyo kuna siku tutakuja kutoa ushuhuda hapa
 
Acha mambo ya hear say hapa, ni akina nani unaowajua wana selected for oral hawajapata ajira ? ,Halafu tuonyeshe huo ushuhuda hapa usituandikie upuuz wa jamaa yangu , jamaa yako who ?
Toa screenshot hapa
Usituone wajinga
Acha ubishi Selected for Oral baada ya Oral Interview inakupa tumaini la kuwa Umeweza kufikisha Pass Marks yao lkn kupata Kazi inategemea na Nafasi zilizopo
 
Tangia huu uzi umeanza nimesoma comment zote kuanzia ya Kwanza ya mwanzilishi wa huu uzi mpaka muda huu hii comment ninayoandika mimi sijawahi kuona mtu mwenye not selected kapata kazi kwa shuhuda zilizotoka humu so far , never
alijitokezaga mmoja,watu walimjia juu sana .alikua na not na akadai alipata kazi
 
Back
Top Bottom