mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 14,205
- 19,142
Tumeni pdf mliodownload, naona website imejam
Tumeni pdf mliodownload, naona website imejam
Hongera sana kwa kulamba asali ukawe mtumishi mwemaWakuu mi nahisi hii theory ya selected for oral iko sahihi kuna proba kubwa ya kupata leo zamu yangu
Shukrani sanaHongera sana kwa kulamba asali ukawe mtumishi mwema
Sio mmoja tu asilimia kubwa watu wanatumia web ko ata kuingia kwa app huwa awaendi ko lolote linaweza tokea tuzidi kusalialijitokezaga mmoja,watu walimjia juu sana .alikua na not na akadai alipata kazi
Ukawe mtumishi mwema, hongera Sana ngoja sisi tuendelee na mapambano.Shukrani sana
Hongera sana mwambaWakuu mi nahisi hii theory ya selected for oral iko sahihi kuna proba kubwa ya kupata leo zamu yangu
Asali ya kiwango cha ISOTPA[emoji91][emoji91][emoji91]
Wale wangine tulisema ni pipa la asali, hawa wazee wa TPA tukiita swimming pool la asali nadhani tutakua sahihi.Asali ya kiwango cha ISO
Nimetoka kuangalia huko PSRS sijaona mkeka. Au hizi ni za ndaaaaaaaani... ?TPA[emoji91][emoji91][emoji91]
Ulifanya oral lini?Shukrani sana
Hongera sana Kiongozi....Ukawe Mtumishi MwemaWakuu mi nahisi hii theory ya selected for oral iko sahihi kuna proba kubwa ya kupata leo zamu yangu
Asali Tamu sana hyo...TPA[emoji91][emoji91][emoji91]
Mishahara minono au sio..[emoji17][emoji17] Dah Mungu atusimamie nasisi jukwaa libadilike liwe jukwaa lakujipongezaWale wangine tulisema ni pipa la asali, hawa wazee wa TPA tukiita swimming pool la asali nadhani tutakua sahihi.
Mishahara minono au sio..[emoji17][emoji17] Dah Mungu atusimamie nasisi jukwaa libadilike liwe jukwaa lakujipongeza
Hongera sana mkuuWakuu mi nahisi hii theory ya selected for oral iko sahihi kuna proba kubwa ya kupata leo zamu yangu
KOJ ni DUNIA nyingine....Wale wangine tulisema ni pipa la asali, hawa wazee wa TPA tukiita swimming pool la asali nadhani tutakua sahihi.