HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wa
MIMI NIMEKOSA ETI WANANAMBIA VYETI HAVIKUHAKIKIWA NA KUPIGWA MUHURI MWANASHERIA AU MAHAKAMANI CHA AJABU VYOTE VYOTE NIMEVYOWEKA VINA MUHURI WA MWANASHERIA NA HUYO HUYO MWANASHERIA ALITUPIGIA MUHURI WATU TULIKUA KAMA 20 HIVI KILA MTU NA VYETI VYAKE CHA AJABU WOTE WAMEPATA MIMI TU NDO NIMEKOSA
Pole Kwa tatizo lako.Wapigie simu Kuanzia kesho waeleze Hilo tatizo lako.
Kuna Majina ya ziada huwa wanayatoa Tena kabla ya usaili.
 
Natumai jamaa yetu huyu atakuwa ameelewa cha kufanya!
Ajitahidi mapema kesho awataarifu tatizo lake litatuliwe huenda nafasi mojawapo ni ya kwake!
Upo powa lkn kijana??
Nakumbuka mbiringe za kutaka kujua hatma ya 28/11.....
Status na struggles zetu humu ndani
Ilikuwa balaaaaa
Hahahaha kaka nipo salama Mungu ni mwema.Hongera sana na wewe Database naona ilijibu.Mimi nilishaingia kwenye Utumishi wa Umma hiyo ya November...
 
Nliona unamwaga ushuhuda hapa....
Jambo jema aiseeee.
Tuendelee kuwatia moyo wenzetu...waendeleze mapambano na wasikate tamaaa
Hakika kaka.Kikubwa ni Imani tu.Na kupambana.Sasa serikali ya Dkt.Samia Kwa kweli inamwaga Ajira.Vijana ni kujitahidi kuhudhuria saili tu.Mungu atatenda.
 
Back
Top Bottom