Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,980
- 127,443
Wana maisha magumu kuliko jobless?Halmashauri Kuna Bata?
Maana nasikia wanamaisha magumu
Wana maisha magumu kuliko jobless?Halmashauri Kuna Bata?
Maana nasikia wanamaisha magumu
Sasa CHIEF tukaangalie nini tena zaidi ya PDF za ASALI?Hahahaha
Asiyeshukuru kwa KIDOGO?Wana maisha magumu kuliko jobless?
Umenivunja mbavu kwa kicheko.!Utaletewa pdf la kurasa mbili, ukurasa wa kwanza mzima umejaa maelezo ya "uje ukiwa umevaa barakoa"
Usipende kudanganya watu.Wana maisha magumu kuliko jobless?
Hapana we nenda tu siku ya usahili, namba watakupa pale mlangoni endelea kusoma tuKuhusu ile ishu yangu ya wao kushindwa kuniingiza kwenye orodha ya watakaofanyiwa usaili kwa error ambazo ni mfumo wao wenyewe wamesahau, ila nambie niendelee kutembelea account yangu ya ajira portal hadi jumatano nitakua nimepata majibu kila saa naingia kwenye mfumo kuchungulia naona hamna kitu!....Mhhh nishaanza kuingiwa na wasiwasi jumatano hiyo inakuja....Ikifika j5 ikiwa bado jee?Napaswa kuwapigia tena?
Piga sana, komaa mpaka warekebishe usiogope kukera ili kupata haki yako (maisha)Kuhusu ile ishu yangu ya wao kushindwa kuniingiza kwenye orodha ya watakaofanyiwa usaili kwa error ambazo ni mfumo wao wenyewe wamesahau, ila nambie niendelee kutembelea account yangu ya ajira portal hadi jumatano nitakua nimepata majibu kila saa naingia kwenye mfumo kuchungulia naona hamna kitu!....Mhhh nishaanza kuingiwa na wasiwasi jumatano hiyo inakuja....Ikifika j5 ikiwa bado jee?Napaswa kuwapigia tena?
Mkuu hii mbona ni geni kwangu?Maana namba ya usaili inakua kwenye account ya muombaji huko ajira portalHapana we nenda tu siku ya usahili, namba watakupa pale mlangoni endelea kusoma tu
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Sawa sawaPiga sana, komaa mpaka warekebishe usiogope kukera ili kupata haki yako (maisha)
Nikweli, sababu umeongea nao, Haina shida kuna mtu alikuwa na ishu kama yako, Hadi siku ya usahili namba hakutumiwa kwenye akaunti lkn alifika eneo la tukio wakampaMkuu hii mbona ni geni kwangu?Maana namba ya usaili inakua kwenye account ya muombaji huko ajira portal
Wakuu,Tunamshukuru sana Mungu kwa baraka na fadhira zake kuu,
Hatimaye Bint yetu pia na yeye ameitwa Kazini hapo "Tume ya Utumishi wa Mahakama".
Amin.
Maana isije nikaenda kuaibika tu siku ya usailiNikweli, sababu umeongea nao, Haina shida kuna mtu alikuwa na ishu kama yako, Hadi siku ya usahili namba hakutumiwa kwenye akaunti lkn alifika eneo la tukio wakampa
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
washawapangia zamaniWakuu,
Hivi hawa Tume ya Utumishi wa Mahakama (JSC) walishawapangia watu vituo vya kazi tangu watoe ile placement yao ama bado mchakato unaendelea ?
Naona kimya kwa Bint yetu na wenzake tangu tarehe 27 June mpaka leo bado wanasubiria kupangiwa vituo vya kazi, japo barua ya ajira walipewa na walithibisha na kukubali kuajiriwa kama walivyoelekeza.
Mwenye kujua kuna nini kinaendelea huko ?
washawapangia zamani
Boss, kama uko dar na unaweza kwenda sabasaba...fika uwacheki banda lao pale, unaweza pata majibu ya uhakika kabisaMaana isije nikaenda kuaibika tu siku ya usaili
Tuendlee tu kula mtori mkuu maana kumekauka hatariNaam PSRS shusheni PDF hilo Sekretarieti ya Ajira
Kwa sababu wanakuchunguza ili wajue endapo kama wewe ni mfuasi kindakindaki wa CCM au ni mfuasi wa upinzani.Wakigundua wewe ni mpinzani unapigwa chini, hupati ajira.Wanajamvi,
Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?