HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
mm nishakata tamaa kabisa.. niliapa kabisa kama sitopata Mdas na Lgas sitoomba tena ajira psrs ..nmesoma kwa tabu sana..kipindi cha writen nilikuwa nalala masaa 2 tu kwa siku…kwenye kikazi nilicho jishikiza ilibaki robo tu nifukuzwe kwa ufanisi kupungua ….inakatisha sana tamaa..Tanzania life is not fair kabisa..tunaishi maisha ya roho juu mda wote.. watoto wa kimaskin njia zetu ngumu sana
Mbinu moja wapo ya kupata mrija wa asali ni usiwe serious kupitiliza upande wa PSRS kiasi Cha kutelekeza majukumu mengine.
 
Sijamaanisha hivyo, ninacho jaribu kuonesha hapa ni kuwa tunawalaumu watu ambao sio, hawa wanafata tu maelekezo kutoka juu kwa hao wakuu alowaweka rais kumbuka hii ni OFISI YA RAIS MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA
Hebu eleza vizuri JUU unamaanisha wapi ?

1. Rais
2. Katibu Mkuu kiongozi
3. Waziri wa utumishi (na naibu wake)
4. Katibu mkuu wa wizara ya utumishi
5. Katibu wa PSRS
6. Watendaji wa PSRS

Hiyo ndio chain. Je, kama hao namba 6 hawahusiki na haya tunayoyalalamikia, tumkabe koo nani kati ya namba 5 hadi namba 1 hapo juu.

Elizabeth tafadhali.
 
Hebu eleza vizuri JUU unamaanisha wapi ?

1. Rais
2. Katibu Mkuu kiongozi
3. Waziri wa utumishi (na naibu wake)
4. Katibu mkuu wa wizara ya utumishi
5. Katibu wa PSRS
6. Watendaji wa PSRS

Hiyo ndio chain. Je, kama hao namba 6 hawahusiki na haya tunayoyalalamikia, tumkabe koo nani kati ya namba 5 hadi namba 1 hapo juu.

Elizabeth tafadhali.
Kibali cha ajira anatoa nani? Tuanze hapo kwanza
 
Wapo sabasaba BANDA LA JAKAYA KIKWETE.
Screenshot_20230704_195528.jpg


Wanawakaribisha sana kwa lolote.
 
Back
Top Bottom