HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Umedanganya kwamba halmashauri wana maisha magumu kuliko jobless.

Tungekua sisi jobless tunamaisha mazuri tusingekua tunaomba kazi ajira portal.

Note: Mimi sio mwehu.
Naendelea kusisitiza..wewe ni mwehu. Hivi unajua kusoma? Kujua kusoma ni pamoja na kuzingatia alama kama nukta, mkato, kiulizo n.k. ila kwa wewe hizo alama nahisi hujui maana hata maana yake
 
Back
Top Bottom