Utaletewa pdf la kurasa mbili, ukurasa wa kwanza mzima umejaa maelezo ya "uje ukiwa umevaa barakoa"Tunasubiri pdf kuuubwa
Haha noumaUtaletewa pdf la kurasa mbili, ukurasa wa kwanza mzima umejaa maelezo ya "uje ukiwa umevaa barakoa"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utaletewa pdf la kurasa mbili, ukurasa wa kwanza mzima umejaa maelezo ya "uje ukiwa umevaa barakoa"
?ivi kuna taasis ambazo oral interview zilifanyika kabla ya 30. 01. 2023 majibu hayajatoka mpaka sasa ukiacha DUCE na MUHAS
Habari, naomba kuuliza hivi wakiita watu kazini mfano hizi interview za MDAs&LGAs wakitoa majini wanaunganisha na waliofanya interview hivi karibuni mfano mwezi huu wa 6 au wanaanza kuita wale waliofanya interview za nyuma kwanza???
hii pdf sio ile ya 30. 01. 2023
Hakika mkuu naona kimya, mimi pia ni mmojawapo nitakua Yombo Hall. Tupeane abc.Inamaana humu ndan hakuna hata mmoja aliewahi kifanya Interview ya AFISA MAENDELEO YA JAMII kokote kule iwe serikalini ama sekta binafsi?
Maan nimeshauliza waliofanya usail kwa nafasi hizo ila hata mmoja wa kusema usaili ulikuw na maswali haya na yale hakuna, kweli?
Tupeni hizo questions na sisi tukajaribu bahati yetu.
Abc mzew tusubr wadauHakika mkuu naona kimya, mimi pia ni mmojawapo nitakua Yombo Hall. Tupeane abc.
Don’t be afraid, for I am with you. Don’t be discouraged, for I am your God. I will strengthen you and help you. I will hold you up with my victorious right hand (Isaiah 41:10 NLT).Amen
AmeenDon’t be afraid, for I am with you. Don’t be discouraged, for I am your God. I will strengthen you and help you. I will hold you up with my victorious right hand (Isaiah 41:10 NLT).
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Naomba shule kuishi na mwenza hapo mkuuHapo ndipo mnapokosea!! Taratibu za ajira unatakiwa uzijue kabla ya kupata ajira!! Vinginevyo utajikuta unapoteza haki zako nyingi tu!! Kama vile taratibu za kuishi na mwenza unatakiwa uzijue kabla ya kumpata huyo mwenza (ili maadam unatarajia kumpata mwenza wa maisha). Vinginevyo kuna watu wanajazishwa fomu za kujiunga na chama cha wafanyakazi kana kwamba ni lazima kumbe ni hiari!! Utakapokuja kushtuka umeshaliwa sana tu!! Ni vizuri mno kujua haki na wajibu wako mapema!!
Amen![emoji120][emoji123]Don’t be afraid, for I am with you. Don’t be discouraged, for I am your God. I will strengthen you and help you. I will hold you up with my victorious right hand (Isaiah 41:10 NLT).
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Pdf la nguvu!! lingekuwa ni pdf la placement lingeleta faraja sana humu ndani. Hata hivyo inatia moyo kuitwa kwenye usaili. Wapiganaji kapambaneni, msitishwe na wingi wa wasailiwa. Hii imetendeka ili kuwapa waombaji wote wenye sifa nafasi ya kupambania placement!! Mambo nya kunyongeana baharini bila kuitwa kwenye usaili japo mtu anayo sifa hayafai hata kidogo!!Wale afisa maendeleo ya jamii Kuna pdf yenu uko !
Nafasi ni 800 mkuu, mimi pia ni mmojawapo walioitwa kwenye written MUNGU afanye wepesi....[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Pdf la nguvu!! lingekuwa ni pdf la placement lingeleta faraja sana humu ndani. Hata hivyo inatia moyo kuitwa kwenye usaili. Wapiganaji kapambaneni, msitishwe na wingi wa wasailiwa. Hii imetendeka ili kuwapa waombaji wote wenye sifa nafasi ya kupambania placement!! Mambo nya kunyongeana baharini bila kuitwa kwenye usaili japo mtu anayo sifa hayafai hata kidogo!!
Waliuoitwa ni zaidi ya 5,562, sikumbuki nafasi zilikuwa ngapi (anayekumbuka anaweza kutukumbusha) wala hilo lisikukatishe tamaa. Cha msingi ni maandalizi mazuri na kujiamini huku ukimtegemea Mungu kubariki jitihada zako!! Nawatakia mafanikio na PSRS endeleeni kutenda haki!!
Wafuate ofsini kwao watakuweka kwenye majina ya nyongezaKun namna yoyote ya kuwapigia utumishi kuhusu hili??