Mbanti
JF-Expert Member
- Apr 29, 2017
- 946
- 1,741
Kikubwa uvumilivu na kuomba sana asali isikupiteAisee nafsi nyingi sana ukikosa hapo dah utastahiki polee nzito
Kikubwa uvumilivu na kuomba sana asali isikupiteAisee nafsi nyingi sana ukikosa hapo dah utastahiki polee nzito
+255784398259 jumatatu cheki na watu wa IT..watakufanyia JAMBO Hapo Hapo..na kukuuliza unataka kufanyia wapi usaili, ukisema watakwambia haya safari njema Kila la kheri..angalia akaunti Yako baada ya nusu saa utaona Namba ya mtihani.Mkuu vyote vina muhuri
Uzuri hata kama unataka ubadili eneo la kufanyia interview kutokana na sababu za kimaisha, ukiwapigia wanakubadilishia, kwa mfano tarehe hiyo itakukuta Mwanza, ukiwaambia wanakuweka MWANZA bila SHIDA.Mkuu vyote vina muhuri
Hamna kitu kama hicho, hawabadilishi venue jina lilipotoka ndio unatakiwa uende hapohapoUzuri hata kama unataka ubadili eneo la kufanyia interview kutokana na sababu za kimaisha, ukiwapigia wanakubadilishia, kwa mfano tarehe hiyo itakukuta Mwanza, ukiwaambia wanakuweka MWANZA bila SHIDA.
binafsi sijui kwanini.Wanajamvi,
Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
Mwambie hivi kama wakati wa kutuma maombi aliweka vyeti ambavyo ni certified awapigie. Suala la kuwa karibu na Dodoma halitasaidia.Kama uko karibu na dodoma nenda Psrs ukawaambie,watakuweka kwenye majina ya nyongeza
Hiyo ni ngumu aixee wanakaza sana kubadilishaUzuri hata kama unataka ubadili eneo la kufanyia interview kutokana na sababu za kimaisha, ukiwapigia wanakubadilishia, kwa mfano tarehe hiyo itakukuta Mwanza, ukiwaambia wanakuweka MWANZA bila SHIDA.
Halmashauri Kuna Bata?Changamkieni fursa hizo.. kwenda kula Bata huko Halmashauri
Hii ni Moto mwaka huu, watu zaidi ya 2399 wataingia Oral interview
Mwezi MAY walifnya interview Hawa..inaonekana walitaka Kuzamisha MELI ZIWANI nini?😅😅😅😅😅😅Hii inamaanisha walifeli ama?View attachment 2675395
😄😄😄😄😄Mwezi MAY walifnya interview Hawa..inaonekana walitaka Kuzamisha MELI ZIWANI nini?😅😅😅😅😅😅
Kila sehemu kuna Bata inategemea na definition ya Bata kati ya mtu na mtu.Halmashauri Kuna Bata?
Maana nasikia wanamaisha magumu
Nipo dsm mkuuKama uko karibu na dodoma nenda Psrs ukawaambie,watakuweka kwenye majina ya nyongeza
Asante sana+255784398259 jumatatu cheki na watu wa IT..watakufanyia JAMBO Hapo Hapo..na kukuuliza unataka kufanyia wapi usaili, ukisema watakwambia haya safari njema Kila la kheri..angalia akaunti Yako baada ya nusu saa utaona Namba ya mtihani.
Au Jumatatu nenda ofisi ndogo ya sekretarieti ya ajira iliyopo kwenye jengo la UTUMISHI karibu na kituo cha mwendokasi cha KIVUKONI.Nipo dsm mkuu
Hawa walishafanya tayar nakumbuka kama sikosei ilikuwa ni mwezi wa 5 na oral interview walipita wachache sana itakuwa hawakutoboa pengineHii inamaanisha walifeli ama?View attachment 2675395
Ety nimekuwa direct, sikia MzeeBaba Tanzania hii watumishi wa Umma wengi wako katika Halmashauri ziwe za Miji, wilaya, Jiji, na ofisi za mikoa... Sasa kama ww unawaza sijui agency, Wizara, department utachelewa sana.Mbona umekua direct halmashauri? Yaweza kua Halmashauri, wizarani, kwenye agency pia
Sasa kama umeajiriwa hizi nafasi za halmashauri unazitakia nini mkuuHivi waombaji walioajiriwa wanapata kweli hizi nafasi?
Na iwe hivyo Mkuu ukame umetawala sana hapo kwenye Sehemu ya Placement.Redio mbao ameniambia kuwa yule mtunza flash ya placement alikuwa Mecca kwenye Ibada hvyo Kuanzia kesho tukae mkao wa kula mapdf heavy ya placement,