HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wanajamvi,

Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
Vipi mkuu hadi leo hujaitwa kazini au tayari? Utumishi wanachelewa kwa sababu bado wanakuwa wanapanga bajeti ya mishahara ya watumishi wapya.
 
Mimi huwa siamini kwenye double standard kabisa na watu wataprove ninachokisema kwenye huu usahili wa TRA ,wewe subiri .
Kama serikali imeshindwa kutatua changamoto za psrs basi ni taasisi basi interviews zote zifanywe na wao ,utumishi /psrs wawe wasimamizi lakini hii double standard sidhani kama ni sawa , inatengenezwa mianya ya kupitisha vilaza kinyemela
There's power in the mighty name of Jesus

Every war he wages He will win

I'm not backing down from any giant

'Cause, I know how this story ends

#seeavictory

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
ivi kuna taasis ambazo oral interview zilifanyika kabla ya 30. 01. 2023 majibu hayajatoka mpaka sasa ukiacha DUCE na MUHAS
Screenshot_20230630-202855.png
 
Unachoandika kuhusu TRA ni kweli , nilihudhuria usahili mwezi wa tano utumishi Dodoma ,kuna chalii mmoja ni mfanyakazi wa PSRS tulimuuliza kuhusu hili suala la double standard iweje wengine wafanyiwe usahili na taasisi na wengine wakakandwe na psrs ?
Akaniambia taasisi hasa TRA ,wale kabisa wanachukia kuona vijana wao wa internship wanashikishwa ukuta kila usahili ,yaani rate Yao ya kutoboa sahili za pale Utumishi ni ndogo mno hata asilimia kumi alisema hadhani kama inafika so aka conclude suala la wao kuomba kibali kufanyishwa usahili wenyewe halihusiani na kucheleweshwa kwa mchakato wa ajira bali ni fedheha ya vimada wao na ndugu zao waliowaweka kama interns hapo TRA kuangukia pua kwenye sahili ,ajira wanazisikilizia kwenye bomba la Dawasa huku vijana wakitaa wakipeleka moto kwenye sahili, yaani wapambanaji wa kitaa ni kama jeshi yatima (Wagner ) na interns WA TRA ni jeshi la Ukraine ,[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
The weapons may be formed but they won’t prosper, when darkness falls I know it won’t prevail. Cause the God I serve knows only how to triumph! Oh my God will never fail! #SeeAVictory

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Unachoandika kuhusu TRA ni kweli , nilihudhuria usahili mwezi wa tano utumishi Dodoma ,kuna chalii mmoja ni mfanyakazi wa PSRS tulimuuliza kuhusu hili suala la double standard iweje wengine wafanyiwe usahili na taasisi na wengine wakakandwe na psrs ?
Akaniambia taasisi hasa TRA ,wale kabisa wanachukia kuona vijana wao wa internship wanashikishwa ukuta kila usahili ,yaani rate Yao ya kutoboa sahili za pale Utumishi ni ndogo mno hata asilimia kumi alisema hadhani kama inafika so aka conclude suala la wao kuomba kibali kufanyishwa usahili wenyewe halihusiani na kucheleweshwa kwa mchakato wa ajira bali ni fedheha ya vimada wao na ndugu zao waliowaweka kama interns hapo TRA kuangukia pua kwenye sahili ,ajira wanazisikilizia kwenye bomba la Dawasa huku vijana wakitaa wakipeleka moto kwenye sahili, yaani wapambanaji wa kitaa ni kama jeshi yatima (Wagner ) na interns WA TRA ni jeshi la Ukraine ,[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kuna ukweli kabisa na ndio maana sikutaka kuaaply kabisa TRA napoteza muda tu
 
Level mishahara serikalini hili tatizo litaisha
1. Degree zote za miàka 3 waanze na 1M
2. Degree za miàka 4 waanze na 1.2M
3. Degree za miàka 5 waanze na 1.4M
Mishahara iwe Sawa na scale iwe moja Kwa watumishi wa serikali bila kujali taasisi

hiyo mishahara uliyosema hapo ni ya certificate
 
Back
Top Bottom