Utumishi wanasababishia watu MAGONJWA yasiyo ya KUAMBUKIZA
Unasubiria taasisi Gani?Wadau siku ndio inaishia hivyo no PDF ila tusichoke kuomba Mola.
Watu wajijue waendelee na mambo yao mengine kuliko kusubiri yasiyotabirika au sioCHONDE CHONDE PSRS BILA KUBORESHA HILI ENEO LA STATUS BAADA YA ORAL WATU WAJUE WALICHOPATA...MTAKUA MNATENGENEZA WAGONJWA WENGI SANA WA MAGONJWA YASIYO YA KUAMBUKIZA.
TUNAOMBA MBORESHE HAPA...STRESS IMELALIA HAPA.
Aise Ajira imekuwa pasua kichwa wale wadau wa nafasi za Takwimu II vipi majina yalikamilika kweli maana sielewi elewi mpaka saivi. Wale watu 70 walifika?
Watakwimu II zilibaki nafasi Kama tatu hivi , maana nilikuwa najaribu kuzifuatilia mkuuAise Ajira imekuwa pasua kichwa wale wadau wa nafasi za Takwimu II vipi majina yalikamilika kweli maana sielewi elewi mpaka saivi. Wale watu 70 walifika?
Hamna bado watu 9 kukamilisha hiyo 70.Aise Ajira imekuwa pasua kichwa wale wadau wa nafasi za Takwimu II vipi majina yalikamilika kweli maana sielewi elewi mpaka saivi. Wale watu 70 walifika?
Bado 9 mkuuWatakwimu II zilibaki nafasi Kama tatu hivi , maana nilikuwa najaribu kuzifuatilia mkuu
Aise Ajira imekuwa pasua kichwa wale wadau wa nafasi za Takwimu II vipi majina yalikamilika kweli maana sielewi elewi mpaka saivi. Wale watu 70 walif
Bado 9 mkuu
Waombaji wengi mkuu lazima muda mrefu upite kuchambua maombi ya watuWaswahili walisema kimya kingi kina mshindo mkuu!! Huu ukimya wa TRA unatia mashaka! Ni zaidi ya mwezi mmoja sasa tangu deadline ya kufanya application zao ilipofika, lakini bado ni kimya!! Kama kuitisha tu interview inakuwa mbinde na hatua zingine itakuwaje? Inatia mashaka ukizingatia huko ndiko walikojaa interns ambao wengi wao walichomekwa huko kimchongo, wakisubiria favour fulani, na wengi wao hawana ubavu wa kupambana kihalali na wapiganaji walioko mitaani wanaosaka asali kwa udi na uvumba (they are combat ready!). Naona kama inasakwa mbinu ya kuwakwepa hawa wapiganaji walioko mitaani, ngoja tuendelee kusikilizia!!
Lakn pia kwa hisia zngu sidhani kama kutakua na haki kwenye hizi ajira za TRA kama mchakato ungeendeshwa na psrs,mabosi wanaumia kuona vijana wao wanakandwa kila siku pale psrs sasa ni wakati wa kufnya jambo laoWaswahili walisema kimya kingi kina mshindo mkuu!! Huu ukimya wa TRA unatia mashaka! Ni zaidi ya mwezi mmoja sasa tangu deadline ya kufanya application zao ilipofika, lakini bado ni kimya!! Kama kuitisha tu interview inakuwa mbinde na hatua zingine itakuwaje? Inatia mashaka ukizingatia huko ndiko walikojaa interns ambao wengi wao walichomekwa huko kimchongo, wakisubiria favour fulani, na wengi wao hawana ubavu wa kupambana kihalali na wapiganaji walioko mitaani wanaosaka asali kwa udi na uvumba (they are combat ready!). Naona kama inasakwa mbinu ya kuwakwepa hawa wapiganaji walioko mitaani, ngoja tuendelee kusikilizia!!
Najaribu kuhoji katika lile lundo la watu waliofnya usaili mwezi wa 3 au 4 mwaka huu je hakuna waliofaulu wakapewa kazi?nini maana ya database sasa?kwa hiyo ukiangalia kwa undani utakuta kuna uhuni mwingi ndani yake hii nchi yetu tunaijua vzr na sisi ndio wabongo wenyeweWaswahili walisema kimya kingi kina mshindo mkuu!! Huu ukimya wa TRA unatia mashaka! Ni zaidi ya mwezi mmoja sasa tangu deadline ya kufanya application zao ilipofika, lakini bado ni kimya!! Kama kuitisha tu interview inakuwa mbinde na hatua zingine itakuwaje? Inatia mashaka ukizingatia huko ndiko walikojaa interns ambao wengi wao walichomekwa huko kimchongo, wakisubiria favour fulani, na wengi wao hawana ubavu wa kupambana kihalali na wapiganaji walioko mitaani wanaosaka asali kwa udi na uvumba (they are combat ready!). Naona kama inasakwa mbinu ya kuwakwepa hawa wapiganaji walioko mitaani, ngoja tuendelee kusikilizia!!
Hata wiki ya 3 bado tangu wafunge Dirisha la Maombi. Huu uongo unakusaidia nini?Waswahili walisema kimya kingi kina mshindo mkuu!! Huu ukimya wa TRA unatia mashaka! Ni zaidi ya mwezi mmoja sasa tangu deadline ya kufanya application zao ilipofika, lakini bado ni kimya!! Kama kuitisha tu interview inakuwa mbinde na hatua zingine itakuwaje? Inatia mashaka ukizingatia huko ndiko walikojaa interns ambao wengi wao walichomekwa huko kimchongo, wakisubiria favour fulani, na wengi wao hawana ubavu wa kupambana kihalali na wapiganaji walioko mitaani wanaosaka asali kwa udi na uvumba (they are combat ready!). Naona kama inasakwa mbinu ya kuwakwepa hawa wapiganaji walioko mitaani, ngoja tuendelee kusikilizia!!
Dirisha lilifungwa tarehe 9/6/2023 leo ni tarehe 30/6/2023. Kwa hesabu zako hazijapita hata wiki tatu!! Kwani mwenzetu wiki yako ina siku ngapi? Halafu wewe unadai si mwongo!! Zikipita wiki tatu ukaingia wiki ya nne hiyo ni takriban mwezi maana mwezi una wiki nne!!Hata wiki ya 3 bado tangu wafunge Dirisha la Maombi. Huu uongo unakusaidia nini?
Raia wanasubiria kupima TRA vs PSRS nani atakua FAIR ...hii mechi inasubiriwa kwa hamu sana MATOKEO yake. Maana VITA ni KALI..Waombaji wengi mkuu lazima muda mrefu upite kuchambua maombi ya watu
Imefika hatua hadi Waziri wa FEDHA anasema watu wanasaka ajira SERIKALINI kwa KASI ya AJABU, Hadi wamefika mbali zaidi wanasema KABISA TARGET ni TRA...yani TRA aseeh VITA no KALI.Najaribu kuhoji katika lile lundo la watu waliofnya usaili mwezi wa 3 au 4 mwaka huu je hakuna waliofaulu wakapewa kazi?nini maana ya database sasa?kwa hiyo ukiangalia kwa undani utakuta kuna uhuni mwingi ndani yake hii nchi yetu tunaijua vzr na sisi ndio wabongo wenyewe
Lakn pia kwa hisia zngu sidhani kama kutakua na haki kwenye hizi ajira za TRA kama mchakato ungeendeshwa na psrs,mabosi wanaumia kuona vijana wao wanakandwa kila siku pale psrs sasa ni wakati wa kufnya jambo lao
Hapo Mungu asimame tu....Kuna movie moja wanacheza mpaka uje kuelewa uwe umepitia cuba ...Raia wanasubiria kupima TRA vs PSRS nani atakua FAIR ...hii mechi inasubiriwa kwa hamu sana MATOKEO yake. Maana VITA ni KALI..
Taasisi ZIRUHUSIWE au ZIPIGWE NDOIGE kama KAWA.